Tumeamini Katiba ni maridhiano

Tumeamini Katiba ni maridhiano

MSALANI ina maana uchakachuaji umeshindikana kabisa?maana ccm nawaaminia sana embu anagalieni namna
 
Last edited by a moderator:
Km mnanidanya vile yaani ujanja wooote! Kura ya wazi tuliyoipigania imetuponza! Hapa tunaiomba mahakama isimamishe bunge kwa shauri la KUBENEA Tupate pa kutokea tunaaika sana jamani. Nahisi hata walinzi ma afande wanatushangaa! Maana wamejitahidi kudhibiti maandamano halafu tunashindana cc kwa ccem kweli """!
 
Nilimwona Mzee wangu Wassira akisimama kama anataka kuk.o.jo.a Mara anakaa,haamini kinachoendelea.
Wafuasi wake kule Bunda wameunga mkono maandamano ya CDM na wapo tayari kwa lolote!
 
Bora kura ya SIRI ingesaidia kuweka mambo vizuri. Wananchi nasi turuhusiwe kura ya WAZI..
 
Kweli kabisa, kama huyu mnafiki 6 ni wa kuchoma moto jumla

Nilimsikia Sitta akisema "Inshallah najua akidi itapatikana tuu, Dua la kuku halimpati mwewe! " sikupata kumuelewa anamaanisha nini!
 
Nilimsikia Sitta akisema "Inshallah najua akidi itapatikana tuu, Dua la kuku halimpati mwewe! " sikupata kumuelewa anamaanisha nini!
Yaani siku nyingine mwewe anakufa kwa kurushwa na umeme ila Mzee Six hakujua .
 
Nimecheka sana bwana da had mbav znauma. Muv ipo kwenye climax ktk faling action 2tajua 2
 
Nilimsikia Sitta akisema "Inshallah najua akidi itapatikana tuu, Dua la kuku halimpati mwewe! " sikupata kumuelewa anamaanisha nini!

labda alimaanisha watachakachua , wataiba au watahonga .
 
Hata Farao pamoja na pigo la kifo kwa kila mzaliwa wa kwanza bado aliendelea kushupaza shingo yake.hata sita ni hivyo hivyo ataendelea kushupaza shingo yake ili CCM waangukie pua mwakani
 
Ni nafasi mwafaka kwa Mahakama kuingilia kati sasa ili kutuacha wamoja.
 
Back
Top Bottom