Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 793
Wanaogopa kuchekwa! Sitta akitoka huko sujui atasali wapi maana amewaita maaskofu wapuuzi, maaskofu aliowasifu siku anaapa kuwa mwenyekiti wa bunge maalumu.
Those guys they document to show... so they can prove that they were working; Sitta atakuwa kama Warioba watakuwa wamefanya kazi yao... sasa ni upuuzi wenu kuamua kuendelea na katiba ya 1977!