Tumeamini Katiba ni maridhiano

Tumeamini Katiba ni maridhiano

Hapo kikosi cha uchakachuaji kinahaha, kwa hali ilivyo sitta angekuwa muungwana hakukuwa na haja ya kuendelea na bunge hili kwa sasa,maana wananchi tumeona zanzibar hakuna theluthi 2. Kinyume cha hayo ni uchakachuaji mtupu!
 
Those guys they document to show... so they can prove that they were working; Sitta atakuwa kama Warioba watakuwa wamefanya kazi yao... sasa ni upuuzi wenu kuamua kuendelea na katiba ya 1977!

Loh!Watu wazima mmeumbuka mchana kweupe na "wingi wenu" usiojaa kizibo cha soda.
 
Back
Top Bottom