Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,346
- 3,006
Kwa walioangalia kutangazwa kwa matokeao ya Uraisi na Tume ya Uchaguzi jioni hii kupitia ITV, Judge Lewis Makame alipata kigugumizi kutangaza matokeo ya jimbo la ubungo, na kuonekana na kusikika wakijadili na kuliacha bila kutoa matoke yake na kuendelea na jimbo la Ukerewe na mengine.. cha ajabu baada ya kumaliza nilitegemea wangetoa ufafanuzi wa nini kimesababisha kutotangaza matokeo ya Uraisi jimbo la Ubungo, lakini hawakusema kitu..
Pia katika matangazo ya leo jioni hakukuwa na kituo chochote zaidi ya ITV waliorusha matangazo hayo LIVE, TBC waliekuwa na taarifa ya habari. Kuna nini hapa???
Pia katika matangazo ya leo jioni hakukuwa na kituo chochote zaidi ya ITV waliorusha matangazo hayo LIVE, TBC waliekuwa na taarifa ya habari. Kuna nini hapa???