Tume yapata kigugumizi kutangaza matokeo jimbo la ubungo...why?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume yapata kigugumizi kutangaza matokeo jimbo la ubungo...why??

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Msolo, Nov 5, 2010.

 1. Msolo

  Msolo JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 866
  Likes Received: 669
  Trophy Points: 180
  Kwa walioangalia kutangazwa kwa matokeao ya Uraisi na Tume ya Uchaguzi jioni hii kupitia ITV, Judge Lewis Makame alipata kigugumizi kutangaza matokeo ya jimbo la ubungo, na kuonekana na kusikika wakijadili na kuliacha bila kutoa matoke yake na kuendelea na jimbo la Ukerewe na mengine.. cha ajabu baada ya kumaliza nilitegemea wangetoa ufafanuzi wa nini kimesababisha kutotangaza matokeo ya Uraisi jimbo la Ubungo, lakini hawakusema kitu..

  Pia katika matangazo ya leo jioni hakukuwa na kituo chochote zaidi ya ITV waliorusha matangazo hayo LIVE, TBC waliekuwa na taarifa ya habari. Kuna nini hapa???
   
 2. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mzee kaisharekebisha 'ushindi' wa kishindo anasubiri kujihalalisha kesho. wengi tunasema historia itamhukumu. Kwa dhambi anazowatendea walalahoi
   
 3. N

  Nampula JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhhhhhhh hatari basi
   
 4. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  "UTAJIRI unaotokana na wizi wa mali ya umma, na wizi wa fedha za kigeni na unyonyaji na uharamia wa aina mbalimbali, hautupunguzii umaskini wetu, bali unauongeza. Chama chetu hakiwezi kuikubali hali hii, na kikaendelea kuwa CCM, na wala kisitazamie kuwa wananchi wataendelea kukikubali" (Mwalimu Nyerere, Oktoba 1987).

  MAFISADI KAZI KWENU WATANZANIA WAMEAMKA NA SASA WANATAKA NCHI YAO. SIKU INAKUJA TUTAWAHUKUMU NA MTAFIA MAGEREZANI MLIKOWEKA WANYONGE MLIOWAIBIA UTAJIRI WAO MKAWALAZIMISHA WAIBE KUKU ILI KUJIKIMU. Mungu ibariki Tanzania tupe nguvu ya kuendelea kupambana bila kuchoka na hawa mafisadi wanaoendelea kutuibia bila huruma !! AMEN

  Swali langu kwa Mh. Raisi Kikwete: Je ulipoapa na tena ukashika msahafu na pia Katiba ya nchi, je, uliapa kulinda mali na rasilimali za Tanzania au ni kuziweka chini ya wageni na hasa mafisadi ambao sasa wanaendelea kuitafuna tanzania bila kushibisha matumbo yao ? Naomba utafakari haya na ukiendelea kuiweka Tz chini ya mafisadi, miaka 5 siyo mingi. Watanzania tutakuhukumu siku moja kwenye mahakama zetu au zile za kimataifa !!!!

  M. Abdallah Salehe
   
 5. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It's difficult to communicate concisely when your mouth is full of bullsh*t.
   
 6. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa na wewe Zed, hili ni tangazo la biashara au? Maana kila post unaliweka.
  Put relevant things in relevant places. Pia color choice matters. Strong colors repel
   
Loading...