Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?
kama bado unasoma Tanzania daima ni lazima utakuwa shabiki nguli wa magazeti ya udaku.Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?
Weka hiyo habari hapa tuone huo ushabiki siyo unakata viuno tu.Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?
huelewek wewe,kwani jana kina mzee Warioba hatukuwaona?ni kweli wameivua nguo serikali,ulimskia Polepole??,ulimskia Mzee Butiku?,ulimskia Prof Kabud???,leo kila gazet limekuja na heading yake.,lakini ukweli ni kwamba jana waliivua nguo serikali.
Labda una chuki tu na T-DAIMA
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?
ingekuwa Uhuru ndilo limeandika Ukawa wavishwa chupi kichwani mngesemaje?