Wakati wazee wetu wanapigania uhuru walilipwa sh ngapi kwa siku? Tuendelee tu kuigharamia SIASA halafu kila mtu anajidai kushangaa kwa nini bajeti ya maendeleo ni ndogo!Mimi nadhani ni sawa tu hasa ukichukulia kazi yao ni nzito sana na itakuwa ya kihistoria
sio lazima kuchangia ukisoma tu inatosha kuwa na busara yaani wewe uoni cha kukosoa hapo wakati madaktari wanagomakwahiyo....
Wakati wazee wetu wanapigania uhuru walilipwa sh ngapi kwa siku? Tuendelee tu kuigharamia SIASA halafu kila mtu anajidai kushangaa kwa nini bajeti ya maendeleo ni ndogo!
Kwa nini kukusanya maoni tena kutoka kwa wasiojua KATIBA ni nini itugharimu namna hii? Kwamba wanaounda tume hii wana akili sana? Tunaogopa watahongwa? Na nani? 450,000/= kwa siku kwa MTANZANIA wa kawaida kama Mzee wetu Waryoba ni nini hasa! Katiba yenyewe itaandikwa basi?Wakati wazee wanapigania Uhuru walikuwa hawana resources za kuwawezesha, hivyo wangelipana kutoka wapi? Ni kweli wali-deserve kulipwa vizuri dailly hata Dola1000 ishu ni kwamba kulikuwa hakuna pesa, tukitaka kila kitu tukifanye kwa kuangalia wazee wetu walifanya nini tutaanza kuvaa ngozi za ng'ombe ili tusitofautiane nao sana
Unajua kuwa wajumbe wa kamati ya katiba wanalipwa sh. 450,000= kwa siku na wamenunuliwa magari 60?
Kwa mwaka kila mjumbe kuvuna zaidi ya milioni 300/-
Wasio wajumbe yaani watumishi kutumia bilioni 4.3/-
Mimi nadhani ni sawa tu hasa ukichukulia kazi yao ni nzito sana na itakuwa ya kihistoria
Unajua kuwa wajumbe wa kamati ya katiba wanalipwa sh. 450,000= kwa siku na wamenunuliwa magari 60?
Kwa mwaka kila mjumbe kuvuna zaidi ya milioni 300/-
Wasio wajumbe yaani watumishi kutumia bilioni 4.3/-
sio lazima kuchangia ukisoma tu inatosha kuwa na busara yaani wewe uoni cha kukosoa hapo wakati madaktari wanagoma