nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,620
Hahahaha ww ccm maviHuyu na source yake ya EATV muacheni tu. Yaelekea ni muajiriwa mpya huko mahakamani.
Asante. Lakini ninachokwambia ni kwamba watu wengi saana wameathirika na zoezi hili na wanafuatilia kistaarabu na si kuandika uzushi na uongo. Watu wanahitaji taarifa sahihi za si uzushi. Vinginevyo JF isingefika hapa.Hahahaha ww ccm mavi
Kwa hiyo unasema walioajiriwa Mahakama wamerudishwa kazini kwa uelewa wako au unachangia coz na ww ni member wa humu ?Asante. Lakini ninachokwambia ni kwamba watu wengi saana wameathirika na zoezi hili na wanafuatilia kistaarabu na si kuandika uzushi na uongo. Watu wanahitaji taarifa sahihi za si uzushi. Vinginevyo JF isingefika hapa.
Huyo dogo ni bingwa wa kutunga habari za uzushi na kupost mitandaoni, hapo mwanzo serikali ilikuwa inakanusha mara kwa mara habari zake za uongo, lakini hivi sasa serikali imeamua kumpuuza tu.Huyu na source yake ya EATV muacheni tu. Yaelekea ni muajiriwa mpya huko mahakamani.
Akili mgandoHuyo dogo ni bingwa wa kutunga habari za uzushi na kupost mitandaoni, hapo mwanzo serikali ilikuwa inakanusha mara kwa mara habari zake za uongo, lakini hivi sasa serikali imeamua kumpuuza tu.
Jamaa ni mwathirika wa kusimamishwa ajira, kwa hiyo anasambaza chuki tuuu,
Kwa kuwa kila siku kazi yake ni kutengeneza story za uzushi za kufutwa ajira, ingekuwa vizuri mno kama Mungu angeyapokea na kuyakubali maombi yake, ajira yake ifutwe moja kwa moja akalime magimbi tu huko kwao sitimbi!!!
Mkuu ni kosa kisheria kifupi news ambayo inaashiria uchochezi na hasa isiyokuwa na ukweli.Kwa hiyo unasema walioajiriwa Mahakama wamerudishwa kazini kwa uelewa wako au unachangia coz na ww ni member wa humu ?
Ww akili makasi kweli kwa hiyo unafurahi nini watu kufukuzwa kazi Leo miezi sita wapo nyumbani no direction tume ya utumishi wa mahakama ndoo imefanya haya halafu ww unataka tusiseme ukweli ? Ungekuwa ww ungejisikiaje ? Hebu acha kujifanya hujui kituMkuu ni kosa kisheria kifupi news ambayo inaashiria uchochezi na hasa isiyokuwa na ukweli.
Naona dhamira yako halisi kuijengea jamii chuki dhidi ya serikali yao kitu ambacho si kizuri, natamani wahusika wakuchukulie hatua Kali.
Hivi hao EATV unawa-quote kama source ya habari zako, hudhani kuwa wanaweza kukuchukulia hatua?Ww akili makasi kweli kwa hiyo unafurahi nini watu kufukuzwa kazi Leo miezi sita wapo nyumbani no direction tume ya utumishi wa mahakama ndoo imefanya haya halafu ww unataka tusiseme ukweli ? Ungekuwa ww ungejisikiaje ? Hebu acha kujifanya hujui kitu
Ww logic yako ipi ! ? Ungekuwa na akili usingekuwa unaropoka kwanza serikali ndoo inapaswa kuchukuliwa hatua inakuwa unamwajiri MTU then unamfukuza kinyama hivi ? Still ww unashabikia coz ww ccmHivi hao EATV unawa-quote kama source ya habari zako, hudhani kuwa wanaweza kukuchukulia hatua?
Wewe sheria ya habari inakuhusu.
Maneno yako hayo usidhani jf ni mbali sana kaka nani mwenye roho mbaya sasa.Huku viwanda vinafungwa.....
Huku serikali inafukuza watu Kazi......
Huku wakulima Wa vitunguu wananyanganywa machine ya kumwagiria na serikali.........
Huyu jamaa ana Roho mbaya.....