Tume ya utumishi wa Mahakama yawafukuza kazi waajiriwa wapya 385

nkanga chief

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
2,099
Likes
1,606
Points
280
Age
28
nkanga chief

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
2,099 1,606 280
Tume ya utumishi wa Mahakama imewafukuza kazi waajiriwa wapya 385 walioajiriwa mwezi June 2016 na kuanza kufanya kazi kwenye Mahakama mbalimbali Tanzania walisainishwa mikataba yote ya kazi na kuanza kufanya kazi Moja mmoja .

Source. EATV
 
Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
3,715
Likes
1,439
Points
280
Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
3,715 1,439 280
du namba inasomeka..
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,439
Likes
18,767
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,439 18,767 280
Huku viwanda vinafungwa.....

Huku serikali inafukuza watu Kazi......

Huku wakulima Wa vitunguu wananyanganywa machine ya kumwagiria na serikali.........

Huyu jamaa ana Roho mbaya.....
 
B

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Messages
2,274
Likes
1,416
Points
280
B

bnhai

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2009
2,274 1,416 280
Huyu na source yake ya EATV muacheni tu. Yaelekea ni muajiriwa mpya huko mahakamani.
 
NALIA NGWENA

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Messages
2,611
Likes
1,419
Points
280
NALIA NGWENA

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2016
2,611 1,419 280
Hatar
 
B

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Messages
2,274
Likes
1,416
Points
280
B

bnhai

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2009
2,274 1,416 280
Hahahaha ww ccm mavi
Asante. Lakini ninachokwambia ni kwamba watu wengi saana wameathirika na zoezi hili na wanafuatilia kistaarabu na si kuandika uzushi na uongo. Watu wanahitaji taarifa sahihi za si uzushi. Vinginevyo JF isingefika hapa.
 
Petro E. Mselewa

Petro E. Mselewa

Verified Member
Joined
Dec 27, 2012
Messages
8,610
Likes
14,795
Points
280
Petro E. Mselewa

Petro E. Mselewa

Verified Member
Joined Dec 27, 2012
8,610 14,795 280
Sababu ni nini hasa Mkuu?
 
nkanga chief

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
2,099
Likes
1,606
Points
280
Age
28
nkanga chief

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
2,099 1,606 280
Asante. Lakini ninachokwambia ni kwamba watu wengi saana wameathirika na zoezi hili na wanafuatilia kistaarabu na si kuandika uzushi na uongo. Watu wanahitaji taarifa sahihi za si uzushi. Vinginevyo JF isingefika hapa.
Kwa hiyo unasema walioajiriwa Mahakama wamerudishwa kazini kwa uelewa wako au unachangia coz na ww ni member wa humu ?
 
Mwanga Lutila

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Messages
2,864
Likes
7,086
Points
280
Mwanga Lutila

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2016
2,864 7,086 280
Sio ya kuchekelea hata kidogo haya.
 
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Messages
2,327
Likes
1,165
Points
280
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2015
2,327 1,165 280
Huyu na source yake ya EATV muacheni tu. Yaelekea ni muajiriwa mpya huko mahakamani.
Huyo dogo ni bingwa wa kutunga habari za uzushi na kupost mitandaoni, hapo mwanzo serikali ilikuwa inakanusha mara kwa mara habari zake za uongo, lakini hivi sasa serikali imeamua kumpuuza tu.

Jamaa ni mwathirika wa kusimamishwa ajira, kwa hiyo anasambaza chuki tuuu,

Kwa kuwa kila siku kazi yake ni kutengeneza story za uzushi za kufutwa ajira, ingekuwa vizuri mno kama Mungu angeyapokea na kuyakubali maombi yake, ajira yake ifutwe moja kwa moja akalime magimbi tu huko kwao sitimbi!!!
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,254
Likes
48,294
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,254 48,294 280
Wafukuzwe tu,2020 hawatofanya ujinga tena.
 
nkanga chief

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
2,099
Likes
1,606
Points
280
Age
28
nkanga chief

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
2,099 1,606 280
Huyo dogo ni bingwa wa kutunga habari za uzushi na kupost mitandaoni, hapo mwanzo serikali ilikuwa inakanusha mara kwa mara habari zake za uongo, lakini hivi sasa serikali imeamua kumpuuza tu.

Jamaa ni mwathirika wa kusimamishwa ajira, kwa hiyo anasambaza chuki tuuu,

Kwa kuwa kila siku kazi yake ni kutengeneza story za uzushi za kufutwa ajira, ingekuwa vizuri mno kama Mungu angeyapokea na kuyakubali maombi yake, ajira yake ifutwe moja kwa moja akalime magimbi tu huko kwao sitimbi!!!
Akili mgando
 
moniccca

moniccca

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Messages
2,297
Likes
3,136
Points
280
moniccca

moniccca

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2015
2,297 3,136 280
Kwa hiyo unasema walioajiriwa Mahakama wamerudishwa kazini kwa uelewa wako au unachangia coz na ww ni member wa humu ?
Mkuu ni kosa kisheria kifupi news ambayo inaashiria uchochezi na hasa isiyokuwa na ukweli.

Naona dhamira yako halisi kuijengea jamii chuki dhidi ya serikali yao kitu ambacho si kizuri, natamani wahusika wakuchukulie hatua Kali.
 
nkanga chief

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
2,099
Likes
1,606
Points
280
Age
28
nkanga chief

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
2,099 1,606 280
Mkuu ni kosa kisheria kifupi news ambayo inaashiria uchochezi na hasa isiyokuwa na ukweli.

Naona dhamira yako halisi kuijengea jamii chuki dhidi ya serikali yao kitu ambacho si kizuri, natamani wahusika wakuchukulie hatua Kali.
Ww akili makasi kweli kwa hiyo unafurahi nini watu kufukuzwa kazi Leo miezi sita wapo nyumbani no direction tume ya utumishi wa mahakama ndoo imefanya haya halafu ww unataka tusiseme ukweli ? Ungekuwa ww ungejisikiaje ? Hebu acha kujifanya hujui kitu
 
B

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Messages
2,274
Likes
1,416
Points
280
B

bnhai

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2009
2,274 1,416 280
Ww akili makasi kweli kwa hiyo unafurahi nini watu kufukuzwa kazi Leo miezi sita wapo nyumbani no direction tume ya utumishi wa mahakama ndoo imefanya haya halafu ww unataka tusiseme ukweli ? Ungekuwa ww ungejisikiaje ? Hebu acha kujifanya hujui kitu
Hivi hao EATV unawa-quote kama source ya habari zako, hudhani kuwa wanaweza kukuchukulia hatua?
Wewe sheria ya habari inakuhusu.
 
nkanga chief

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
2,099
Likes
1,606
Points
280
Age
28
nkanga chief

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
2,099 1,606 280
Hivi hao EATV unawa-quote kama source ya habari zako, hudhani kuwa wanaweza kukuchukulia hatua?
Wewe sheria ya habari inakuhusu.
Ww logic yako ipi ! ? Ungekuwa na akili usingekuwa unaropoka kwanza serikali ndoo inapaswa kuchukuliwa hatua inakuwa unamwajiri MTU then unamfukuza kinyama hivi ? Still ww unashabikia coz ww ccm
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,608
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,608 280
Huku viwanda vinafungwa.....

Huku serikali inafukuza watu Kazi......

Huku wakulima Wa vitunguu wananyanganywa machine ya kumwagiria na serikali.........

Huyu jamaa ana Roho mbaya.....
Maneno yako hayo usidhani jf ni mbali sana kaka nani mwenye roho mbaya sasa.
 
Forum statistics

Threads 1,274,136
Members 490,601
Posts 30,502,217