Waache WAPIGE hela ya BURE kutoka kwa BIBI CHURA.Tume yao haina kazi tena. Majibu yote kuanzia nguvu iliyotumika mpaka aliyetoa order wameyapata leo
Waendelee kula pension tu
Je vipi kuhusu tume inayojichunguza?Je inayotarajiwa ya maridhiano kuelekea katiba mpya itawekwa kundi gani?Tume yao haina kazi tena. Majibu yote kuanzia nguvu iliyotumika mpaka aliyetoa order wameyapata leo Waendelee kula pension tu
Umeniwahi hapoTume yao haina kazi tena. Majibu yote kuanzia nguvu iliyotumika mpaka aliyetoa order wameyapata leo
Waendelee kula pension tu