Tume ya Uchaguzi wanahatarisha amani ya nchi

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,195
Reaction score
9,812
Kwa hali tulipofikia na tunakoelekea kuhusu mambo ya Uchaguzi chini ya hii NEC isiyo Huru amani ya nchi inaenda kutoweka!!!

Haihitaji mtu uwe na elimu ya sayansi ya kurusha Roketi ili kujua kinachofanywa na Tume ya Uchaguzi Tanzania NEC ili kuhakikisha wanakibeba Chama Tawala cha CCM. Kwamba sasa NEC wamedhamiria kuibeba CCM bila hata aibu baada ya tamko la Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT Bwana John Joseph Pombe Magufuli ya kwamba CCM itatawala milele.

Tunapoelekea kwenye Chaguzi ndogo za Ubunge Jimbo la Buyungu na Udiwani katika Kata 72 inaonekana kuwa NEC wana mpango kabambe wa kuhakikisha Upinzani hawapati Jimbo la Ubunge wa Kata hata moja. Vituko vinavyojitokeza kwenye maeneo yenye wagombea wa Udiwani kwa Upinzani inasikitisha kama siyo kutishia Amani ya nchi. Kwamba sasa kuna wagombea wa Udiwani toka Upinzani wameambiwa siyo Raia wa Tanzania.....Kuna maeneo Wagombea wanasakwa na Polisi kwa kesi za Mauaji. na kuna maeneo Wagombea wanalazimishwa kujiuzulu au kujaza Fomu kimakosa kwa maksudi ili wawe DISQUALIFIED na Wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni Wakurugenzi wa Halmashauri na Miji.

Chondechonde kwa Rais JPM aingilie kati na aepushe huu uhuni unaofanywa na wateule wake toka NEC...!!Ikibidi hata ajitokeze hadharani afute kauli yake ya CCM ITATAWALA MILELE MAANA KAULI HIYO INAONEAKANA KULETA UCHOCHEZI na ikizingatiwa tunaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka kesho 2019 na Uchaguzi Mkuu 2010 hali inaweza kuwa mbaya sana!!!!

Naomba kuwasilisha.
 
Unaemuomba aitulize hiyo hali ndie aliyewapa maelekezo tume na wakuregenzi wafanye hayo wanayoyafanya ili CCM ishinde..
Mtu wa ajabu na ovyo haijapata kutokea.

MENGELENI KWETU,
Waungwana huanza kwa kuomba mhusika/wahusika wafanye marekebishe ya jambo fulani linalokwenda kombo. Kama mhusika/wahusika hawachukui hatua basi yajayo yanasikitisha......AMANI KUTOWEKA ambayo itawagusa wote kina CCM na wasio wana CCM. Kinachofanywa na JPM, CCM na NEC ni sawa na mtu anachezea shilingi kwenye tundu la choo na itakapo mponyoka basi ajue hatoipata tena.....na Wahenga walisema wakati ni ukuta!!!
 
Tatizo la nchi hi bila kuficha ni Rais mwenyewe

Hawa wote NEC+Polisi CCM wanafiata maelekezo yake.......

Kwa hiyo ni jambo linalotisha kuona nchi ambayo imeenjoy amani kwa kipindi chote hiki, hivi sasa amani hiyo ni dhahiri iko ukingoni na damu inaelekea kumwagika!
 
Chondechonde kwa Rais JPM aingilie kati na aepushe huu uhuni unaofanywa na wateule wake toka NEC.."

Hapa ndio tatizo la Watanzania lilipo ,yaani anayeleta tatizo ndiye anayetegemewa kutatua tatizo

Hivi si Magufuli huyu alisema nikuteue Mkurugenzi ,nikulipe mshahara halafu ukamtangaze mpinzani ?

Mnategemea nini kutoka kwake ?
 
Kwa hali tulipofikia na tunakoelekea kuhusu mambo ya Uchaguzi chini ya hii NEC isiyo Huru amani ya nchi inaenda kutoweka!!!

Haihitaji mtu uwe na elimu ya sayansi ya kurusha Roketi ili kujua kinachofanywa na Tume ya Uchaguzi Tanzania NEC ili kuhakikisha wanakibeba Chama Tawala cha CCM. Kwamba sasa NEC wamedhamiria kuibeba CCM bila hata aibu baada ya tamko la Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT Bwana John Joseph Pombe Magufuli ya kwamba CCM itatawala milele.

Tunapoelekea kwenye Chaguzi ndogo za Ubunge Jimbo la Buyungu na Udiwani katika Kata 72 inaonekana kuwa NEC wana mpango kambambe wa kuhakikisha Upinzani hawapati Jimbo la Ubunge wa Kata hata moja. Vituko vinavyojitokeza kwenye maeneo yenye wagombea wa Udiwani kwa Upinzani inasikitisha kama siyo kutishia Amani ya nchi. Kwamba sasa kuna wagombea wa Udiwani toka Upinzani wameambiwa siyo Raia wa Tanzania.....Kuna maeneo Wagombea wanasakwa na Polisi kwa kesi za Mauaji. na kuna maeneo Wagombea wanalazimishwa kujiuzulu au kujaza Fomu kimakosa kwa maksudi ili wawe DISQUALIFIED na Wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni Wakurugenzi wa Halmashauri na Miji.

Chondechonde kwa Rais JPM aingilie kati na aepushe huu uhuni unaofanywa na wateule wake toka NEC...!!Ikibidi hata ajitokeze hadharani afute kauli yake ya CCM ITATAWALA MILELE MAANA KAULI HIYO INAONEAKANA KULETA UCHOCHEZI na ikizingatiwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka kesho 2019 na Uchaguzi Mkuu 2010 hali inaweza kuwa mbaya sana!!!!

Naomba kuwasilisha.
Sioni kama kauli ya Mwenyekiti wa CCM kusema CCM itatawala milele ina tatizo lolote. Angesemaje? Mhe. Mbowe akiulizwa leo, atoe maoni yake kuhusu kesho ya CCM, atasema itasambaratika siku si nyingi. Ataja mipasuko ndani ya CCM kama ushahidi wa hoja yake. Ukimwuliza Mhe. Mbowe kuhusu uimara na umakini wa chama chake cha CHADEMA atasema, ni imara zaidi kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya uwepo wa chama chake. Muulize Prof. Lipumba kama CUF imepasuka vipande, atakwambia walikuwapo wahuni wachache wamedhibitiwa na sasa CUF inaguvu bara na visiwani. Hayo ndiyo maneno ya wanasiasa wa nchi hii.

Ninachokubaliana na wewe ni matendo katili, uhuni uliopitiliza na ukandamizaji uliovuka mipaka ya utawala wa Mhe. John Joseph Pombe Magufuli kwa vyama vya upinzani. Utawala huu umeimarisha mabavu na matumizi mabaya ya vyombo vya dola katika kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi unaokuja.

Wanaccm wanatakiwa kutambua kuwa Mzee Mugabe ametoka kwa aibu, Mzee Jaccob Zuma ametoka kwa aibu na hata aliyewahi kujitangaza mbabe wa dunia aliondoka kwa aibu na hata kaburi lake halifahamiki.

Rais wa Uganda, Mhe. Yoeli Kaguta Mseveni na rafiki yake Paul Kagame amabao aliwaona( Rais wetu) kama mfano wa kuigwa hawako salama na wala mataifa yao hayako salama kama ambavyo wangetamani iwe. Wanahaha!!. Heri yao kwa kuwa wamejiandaa kufia madarakani! Je, hata yeye atachukua njia yao? Mbona anasema kila siku kwamba yeye hataongeza hata siku moja kipindi chake kikiisha? Anataka atuachie Tanzania ya aina gani?
Tume ya Taifa ya UCHAGUZI na Mahakama simamia haki mliokoe taifa letu. Kinachoendelea si sawa hata kidogo.
 
Ccm itatawala mpaka mbinguni pale malaika jiwe atakapokuwa kiongozi wa malaika kama alivyomba
 
Mi naona mna wasiwasi WA bure tu..Mungu Ana maono yake. Hayo yote tanayofanyika sasa ndo kaburi la ccm hata baada ya miaka 20 ijayo. Aijawai kutokea dunian Chama cha siasa kikaishi milele kwa kutegemea dola.
 
Kwa hali tulipofikia na tunakoelekea kuhusu mambo ya Uchaguzi chini ya hii NEC isiyo Huru amani ya nchi inaenda kutoweka!!!

Haihitaji mtu uwe na elimu ya sayansi ya kurusha Roketi ili kujua kinachofanywa na Tume ya Uchaguzi Tanzania NEC ili kuhakikisha wanakibeba Chama Tawala cha CCM. Kwamba sasa NEC wamedhamiria kuibeba CCM bila hata aibu baada ya tamko la Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT Bwana John Joseph Pombe Magufuli ya kwamba CCM itatawala milele.

Tunapoelekea kwenye Chaguzi ndogo za Ubunge Jimbo la Buyungu na Udiwani katika Kata 72 inaonekana kuwa NEC wana mpango kabambe wa kuhakikisha Upinzani hawapati Jimbo la Ubunge wa Kata hata moja. Vituko vinavyojitokeza kwenye maeneo yenye wagombea wa Udiwani kwa Upinzani inasikitisha kama siyo kutishia Amani ya nchi. Kwamba sasa kuna wagombea wa Udiwani toka Upinzani wameambiwa siyo Raia wa Tanzania.....Kuna maeneo Wagombea wanasakwa na Polisi kwa kesi za Mauaji. na kuna maeneo Wagombea wanalazimishwa kujiuzulu au kujaza Fomu kimakosa kwa maksudi ili wawe DISQUALIFIED na Wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni Wakurugenzi wa Halmashauri na Miji.

Chondechonde kwa Rais JPM aingilie kati na aepushe huu uhuni unaofanywa na wateule wake toka NEC...!!Ikibidi hata ajitokeze hadharani afute kauli yake ya CCM ITATAWALA MILELE MAANA KAULI HIYO INAONEAKANA KULETA UCHOCHEZI na ikizingatiwa tunaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka kesho 2019 na Uchaguzi Mkuu 2010 hali inaweza kuwa mbaya sana!!!!

Naomba kuwasilisha.
Nani aingilie kati?
 
Anzeni kuwaga damu zenu basi tuone. Yaani mnachosha kweli kweli.
 
CCM yetu imeshindwa kabisa kushinda uchaguzi bila kutumia janja janja.

Hii ndiyo CCM yetu tuliyoiasisi tarehe 5th Feb 1977 imefikia hapa ilipo kweli?
 
Kwamba hili ndio umeling'amua awamu hii au dharau? Tangu nchi hii imeingia kwenye mfumo wa vyama vingi ni lini kuliwahi kuwa na Tume inayosimamia uchaguzi wa huru na haki? Au umepigika ndo umeamua kuangalia siasa?
 
Haraka sana Nendeni mahakamani!!

Kwa hali tulipofikia na tunakoelekea kuhusu mambo ya Uchaguzi chini ya hii NEC isiyo Huru amani ya nchi inaenda kutoweka!!!

Haihitaji mtu uwe na elimu ya sayansi ya kurusha Roketi ili kujua kinachofanywa na Tume ya Uchaguzi Tanzania NEC ili kuhakikisha wanakibeba Chama Tawala cha CCM. Kwamba sasa NEC wamedhamiria kuibeba CCM bila hata aibu baada ya tamko la Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT Bwana John Joseph Pombe Magufuli ya kwamba CCM itatawala milele.

Tunapoelekea kwenye Chaguzi ndogo za Ubunge Jimbo la Buyungu na Udiwani katika Kata 72 inaonekana kuwa NEC wana mpango kabambe wa kuhakikisha Upinzani hawapati Jimbo la Ubunge wa Kata hata moja. Vituko vinavyojitokeza kwenye maeneo yenye wagombea wa Udiwani kwa Upinzani inasikitisha kama siyo kutishia Amani ya nchi. Kwamba sasa kuna wagombea wa Udiwani toka Upinzani wameambiwa siyo Raia wa Tanzania.....Kuna maeneo Wagombea wanasakwa na Polisi kwa kesi za Mauaji. na kuna maeneo Wagombea wanalazimishwa kujiuzulu au kujaza Fomu kimakosa kwa maksudi ili wawe DISQUALIFIED na Wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni Wakurugenzi wa Halmashauri na Miji.

Chondechonde kwa Rais JPM aingilie kati na aepushe huu uhuni unaofanywa na wateule wake toka NEC...!!Ikibidi hata ajitokeze hadharani afute kauli yake ya CCM ITATAWALA MILELE MAANA KAULI HIYO INAONEAKANA KULETA UCHOCHEZI na ikizingatiwa tunaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka kesho 2019 na Uchaguzi Mkuu 2010 hali inaweza kuwa mbaya sana!!!!

Naomba kuwasilisha.
 
Kama kura za chaguzi zingekuwa zinapigwa JF, Chadema wangekuwa washindi hata kabla ya kura kupigwa. The fact is, wananchi wa Tanzania wanajua ukweli na trajectory ya uchumi wa nchini yao. Keep on instigating hate and it will take you nowhere kisiasa.
 
Back
Top Bottom