Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Bila tume huru mm nafamilia yangu marufuku kupiga kura hakuna haki inayoniletea usumbufu unadanganywa kura nihakiyako kumbe nihaki ya anaetangaza sisi tunapiga kura ila anaechagua niyule anaetangaza kupotezeana mudanimechokaHii Tume ya ccm ni hatari sana yaani wanatangaza mitaani kwamba Vyama vijitokeze kuchukua fomu lakini cha Kushangaza leo Ofisi zote zimefungwa na Wasimamizi wasaidizi wameamriwa waondoke ofisini ili wagombea wa vyama vya Upinzani vikose haki ya Kugombea.
Wagombea wa Vyama vya Upinzani wamekaa kwenye ofisi za Tume kuanzia asubuhi hadi jioni hii ofisi zikiwa zimefungwa lakini cha Kushangaza tukamkuta Msimamizi anakaa tu mtaa wa pili kama anavyoonekana kwenye picha yaani amefunga ofisi ya Kata ya Oldeani halafu ameenda kukaa Kata jirani Changarawe hii ni aibu kwa TAIFA hili ni aibu tena aibu tupu.
Sasa kuna Sababu gani ya Kutangaza Uchaguzi ambao hamtaki wapinzani wenu kuchukua fomu?
Karatu ina Uchaguzi wa Marudio kwenye Kata tano ambapo Kata moja tu ya Mbulumbulu ndio iliyotoa fomu kwa Vyama vya Upinzani Kata zingine nne Ofisi za Tume Zimefungwa na wagombea wa ccm tayari wameshapewa fomu zao.View attachment 1113562View attachment 1113563View attachment 1113564
umeshachanga akili ukaona kipi ni faida au kwako faida ni kuokoa pesa na wala siyo kuboresha tulichonacho ili kiwe bora zaidi?Mimi ni miongoni mwa watu waliokua na hofu ya kuukubali mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa lakini sheria ilipopitishwa na kulifanya Taifa la Tanzania kua la siasa za vyama vingi na kuona faida zake nikajikuta naukubali mfumo huo na kuhisi kama tulichelewa kama nchi kuanza kuutumia
Miaka mingi baadae nahisi hapkua na dhamira ya kweli ya kuanzisha mfumo huo na labda ilikua ni kiini macho tu kwa ajili ya kutimiza matakwa na malengo fulani ya kisiasa ya ndani ya kinchi na yakimataifa
Zinatumika pesa na rasilimali nyingi sana kwenye kiini macho hiki, kiasi natamani bora turudie kwenye mfumo wetu wa awali wa Chama kimoja kushika hatamu ili angalau tuliepushe Taifa letu na uteketezaji wa fedha nyingi sana za kodi ya wananchi wake
wapiga punyeto wa karne ya 21. unapopiga punyeto ukidhan upo na baby mzuriiii?!Hii Tume ya ccm ni hatari sana yaani wanatangaza mitaani kwamba Vyama vijitokeze kuchukua fomu lakini cha Kushangaza leo Ofisi zote zimefungwa na Wasimamizi wasaidizi wameamriwa waondoke ofisini ili wagombea wa vyama vya Upinzani vikose haki ya Kugombea.
Wagombea wa Vyama vya Upinzani wamekaa kwenye ofisi za Tume kuanzia asubuhi hadi jioni hii ofisi zikiwa zimefungwa lakini cha Kushangaza tukamkuta Msimamizi anakaa tu mtaa wa pili kama anavyoonekana kwenye picha yaani amefunga ofisi ya Kata ya Oldeani halafu ameenda kukaa Kata jirani Changarawe hii ni aibu kwa TAIFA hili ni aibu tena aibu tupu.
Sasa kuna Sababu gani ya Kutangaza Uchaguzi ambao hamtaki wapinzani wenu kuchukua fomu?
Karatu ina Uchaguzi wa Marudio kwenye Kata tano ambapo Kata moja tu ya Mbulumbulu ndio iliyotoa fomu kwa Vyama vya Upinzani Kata zingine nne Ofisi za Tume Zimefungwa na wagombea wa ccm tayari wameshapewa fomu zao.View attachment 1113562View attachment 1113563View attachment 1113564
Ruhi, tulikosea tangia mwanzo kwenye dhamira ya kuanzisha mfumo wa sasa wa vyama vingi. Nimegundua kua kutokuwepo kwa uwanja sawa wa ushindani baina ya vyama vyote sio jambo la bahati mbaya bali ni kitu kilichosukwa tangia mwanzo kabisa wa uanzishwaji wa mfumo huu lengo ikiwa hata kama kitatokea chama makini mbali na CCM basi kiwe msindikizaji tu na kwa namna yoyote ile kisiwe tishio la kuiondoa CCM madarakaniumeshachanga akili ukaona kipi ni faida au kwako faida ni kuokoa pesa na wala siyo kuboresha tulichonacho ili kiwe bora zaidi?
Aiseee!Hilo li bwanyenye ukilipigia simu njoo ofisini kuna MTU tumemkamata ana mfuko Wa plastiki litakuja fasta hata kama lilikuwa limevaa taulo au kondomu
Mkuu kwanini msingembeba msobe msobe mpaka ofisini kwake kama mbwai na iwe mbwai tu yote yana mwisho haya ila pa kuanzia tu ndo bado.Hii Tume ya ccm ni hatari sana yaani wanatangaza mitaani kwamba Vyama vijitokeze kuchukua fomu lakini cha Kushangaza leo Ofisi zote zimefungwa na Wasimamizi wasaidizi wameamriwa waondoke ofisini ili wagombea wa vyama vya Upinzani vikose haki ya Kugombea.
Wagombea wa Vyama vya Upinzani wamekaa kwenye ofisi za Tume kuanzia asubuhi hadi jioni hii ofisi zikiwa zimefungwa lakini cha Kushangaza tukamkuta Msimamizi anakaa tu mtaa wa pili kama anavyoonekana kwenye picha yaani amefunga ofisi ya Kata ya Oldeani halafu ameenda kukaa Kata jirani Changarawe hii ni aibu kwa TAIFA hili ni aibu tena aibu tupu.
Sasa kuna Sababu gani ya Kutangaza Uchaguzi ambao hamtaki wapinzani wenu kuchukua fomu?
Karatu ina Uchaguzi wa Marudio kwenye Kata tano ambapo Kata moja tu ya Mbulumbulu ndio iliyotoa fomu kwa Vyama vya Upinzani Kata zingine nne Ofisi za Tume Zimefungwa na wagombea wa ccm tayari wameshapewa fomu zao.View attachment 1113562View attachment 1113563View attachment 1113564
kweliHii ni hatari sana, unawafanyia huu unyama watu ambao unaishi nao.. sio salama kabisa ipo siku yatatokea mambo mabaya.