sanshinda
Member
- Sep 25, 2017
- 79
- 33
Nimekuwa nikifuatilia jinsi Tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC inavyoendesha mambo yake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 na kiukweli nashawishika kwamba hii Tume ni huru ila tatizo pengine ni wanasiasa wasiokubali kukiri kwamba wanashindwa kwenye chaguzi.
Hata sasa naona NEC inafanya vizuri pia kwenye utoaji fomu za kugombea Urais ikiwa vyama kumi (10) tayari vimechukua fomu. Hatujasikia kwamba kuna chama kimenyimwa fomu. Hongera NEC. So far so good [emoji106].