Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

Dkt. Kihamia katajwa kwenye post na mambo aliyoyafanya Arusha au na wewe huelewi.
Nishaelewa...

Alichokua anasema yule mwehu ni kua NEC inadhibiti wahalifu ambao kwa yeye supposedly ni Ukawa,which is 100% dishonesty...

Hapa,for all fairness,NEC na hasa huyu Dr God's knows who ni group of human beings who are doing massive dis-service to the beautiful people of this land.....

Im telling you,one day,history will list all these minions and their cronies.
 
Unaweza kusema hivyo kwa kuwa hadi leo hakuna anayefahamu sababu za mkurugenzi mkuu wa tume hiyo ya uchaguzi Dkt Athumani Kihamia kupewa cheo hicho akitokea Jiji la Arusha ambako alifanya vurugu nyingi sana na kupelekea kuundwa tume ya kumchunguza na alikuwa anafanya kazi za siasa zaidi kuliko za utendaji huku akimjeruhi kila mtumishi wa jiji aliyepinga falsafa zake tata huku akiungwa mkono na RC Gambo na DC Dakaro na Catherine Magige mbunge wa viti maalum.

Tunasema tume imevamiwa kwa kuwa falsafa za Dkt Kihamia ni ngumu kutekelezeka katika utawala wa sheria kwa kuwa anachoamini yeye ndicho kitakachotekelezwa na atakayempinga atakuwa adui na atashughulikiwa tena hadharani na ndiyo maana baadhi ya vikao vya kamati na baraza la madiwani vilitawaliwa na vurugu za aibu na hata wakati mwingine watu kupigana ngumi mbele ya wananchi na wakati mwingine kuvunjika vikao hivyo. Jiji hilo lilikuwa likiendeshwa kama kikosi cha jeshi yaani amri zilikuwa nyingi kuliko utawala wa sheria.

Viongozi wa namna hii hawafai kuwa watendaji wakuu, huyu ni mwanasiasa kiasili tena wale wenye roho ngumu. Ushahidi wa hili ni kesi inayomkabili hadi leo kule Arusha akihusishwa kupanga na kutekeleza mkakati na kufanikiwa kumteka Mwalimu Batuli Hamadi Kisaya wa shule ya msingi Unga limited iliyopo jijini Arusha mnamo septemba 2016 akishirikiana na mbunge Catherine Magige na Mrisho Gambo RC Arusha, kesi ambayo bado inaendelea, sababu za mwalimu huyo kutekwa, kuteswa na kutupwa porini kabla ya kuokotwa na wasamaria wema na kupelekwa hospitali ya rufaa ya mount meru na kulazwa wiki 2 ambapo alisema alitekwa maeneo ya nyumbani kwake akitokea dukani kwa kutishiwa kwa bunduki na vijana 6 ambao inasemekana ni wafuasi wa UVCCM.

Mwl Batuli alikuwa akimlalamikia mkurugenzi huyo kwa kumvua madaraka ya uratibu elimu kata bila sababu za msingi. Mkurugenzi huyu aliwakomoa watendaji wa kata na vijiji wengi kwa kuwahamishia maeneo yenye mazingira magumu na kuna wakati baadhi ya watumishi waliamua kuacha kazi wakiwemo wanasheria 4 maafisa utumishi 2 wahasibu 3 maafisa manunuzi 4 na kusitisha ajira halali 66 za watumishi wa mikataba na kufuta ajira 22 za mgambo wote wa jiji huku akiwashitaki mahakamani madiwani 2 kwa tuhuma ambazo hazina mashiko na akamsweka ndani naibu meya kwa siku moja baada ya kulumbana kwenye kikao ambapo polisi hawakuona kosa la naibu meya huyo.

Kitendo cha utekaji ni kibaya sana ambacho hakiashirii mema hata huko TUME wajiandae kufanyiwa ubabe, vurugu na hata kutekwa hasa akibishiwa sera zake zenye utata.

Naamini Mhe. rais hamjui vizuri huyu mtekaji angemjua asingemteua.

TUKEMEE HALI HII
View attachment 901688
Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
 
Taifa la wajinga poleni sana

Ninyi ni ngombe za maziwa au kondoo za sufi subirini tuu kazi moja kukamuliwa au kutolewa manyoya
 
Back
Top Bottom