Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

We Mwajuma ndala mbili na huku umo?
Nyïe mmekula wapinzani sasa mnaanzana wenyewe,hakuna tone la damu litalomwagika bure,litali na nyie na anayewatuma mpaka kizazi cha nne

Bro Shirikisha viungo vyako vizuri, 2018 unawaza kumwaga damu? Ishiiiii labda ianze kumwagwa yako kwanza! Unaishi kwenye nchi ya amani na utulivu ndio maana unapata hata muda wa kuposti haya makitu yako.
 
Sasa mtekaji si ndo anatakiwa Mzee!ili wauwe wanaowapinga vizur..si ndo tulipofikia huku!
 
Tanzania tunahitaji viongozi wenye kufanya maamuzi kwa vitendo sio mbwembwe za majukwaani halafu utekelezaji 0. Miaka ya nyuma Arusha ilikua kama pango la wanyanganyi kila mtu ana ndevu, baba ndevu na watoto ndevu wakati huo umepita, sasa ni wakati wa kujenga nchi kwa kasi na uadilifu.Mtoa post umetoa maoni yako kwa jinsi ulivyofikiri japo kuwa unaonyesha kabisa una wivu na Dkt. Kihamia licha ya kwamba unamkubali Kihamia kwa 100%.

Dkt. Kihamia kaza Buti haya maneno ya wanga hayawezi kuzuia kasi yako.
 
inaonekana mtoa post umetoka kulala unatusimulia ndoto yako, wenzako wanafikiria jinsi ya kuijenga tanzania ya viwanda we unaendekeza ndoto za kusimuliwa ambazo haziingii akilini.Afu unamtaja raia kama mjombaako hujui huyo ni mkuu wa nchi mpe heshima yake
 
Sasa imekuwa too much yani mpaka utekaji anahusika? Ila mbona hakuna sehemu alipotiwa hatiani? hapa sio mahakamani kama una hoja yenye mashiko peleka mahakamani
HEBU RUDIA KUSOMA HIKI KIPANDE LABDA UTAELEWA

Viongozi wa namna hii hawafai kuwa watendaji wakuu, huyu ni mwanasiasa kiasili tena wale wenye roho ngumu. Ushahidi wa hili ni kesi inayomkabili hadi leo kule Arusha akihusishwa kupanga na kutekeleza mkakati na kufanikiwa kumteka Mwalimu Batuli Hamadi Kisaya wa shule ya msingi Unga limited iliyopo jijini Arusha mnamo septemba 2016 akishirikiana na mbunge Catherine Magige na Mrisho Gambo RC Arusha, kesi ambayo bado inaendelea, sababu za mwalimu huyo kutekwa, kuteswa na kutupwa porini kabla ya kuokotwa na wasamaria wema na kupelekwa hospitali ya rufaa ya mount meru na kulazwa wiki 2 ambapo alisema alitekwa maeneo ya nyumbani kwake akitokea dukani kwa kutishiwa kwa bunduki na vijana 6 ambao inasemekana ni wafuasi wa UVCCM.
 
kesi sio hatia
 
Inaonekana umeamini hayo maneno ushauri wa Bure ungana na mtoa post muende mahakamani mkafungue kesi otherwise unabakia kuwa umbeya na majungu, Mahakama pekee ndicho chombo kinachoweza kuthibitisha na kumtia mtu hatiani, nenda mahakamani maadam Dkt. Kihamia yupo atafuatwa huko. Please nenda Mahakamani nakupa ushauri wa bure.
 
Mahakama hazina nafasi ya umbea na ntimanyongo
 
Inaonekana umeamini hayo maneno ushauri wa Bure ungana na mtoa post muende mahakamani mkafungue kesi otherwise unabakia kuwa umbeya na majungu, Mahakama pekee ndicho chombo kinachoweza kuthibitisha na kumtia mtu hatiani, nenda mahakamani maadam Dkt. Kihamia yupo atafuatwa huko. Please nenda Mahakamani nakupa ushauri wa bure.
umeshaambia kesi iko mahakamani sasa unataka twende mahakama gani tena

Ushahidi wa hili ni kesi inayomkabili hadi leo kule Arusha akihusishwa kupanga na kutekeleza mkakati na kufanikiwa kumteka Mwalimu Batuli Hamadi Kisaya wa shule ya msingi Unga limited iliyopo jijini Arusha mnamo septemba 2016 akishirikiana na mbunge Catherine Magige na Mrisho Gambo RC Arusha, kesi ambayo bado inaendelea,
 
Hiyo kesi ilikosewa kufunguliwa hiyo!
 
Back
Top Bottom