sawa, kama ilikosewa kwanini haijafutwa mpaka leo?Hiyo kesi ilikosewa kufunguliwa hiyo!

sawa, kama ilikosewa kwanini haijafutwa mpaka leo?
Itafutwa tu bro vuta subra.sawa, kama ilikosewa kwanini haijafutwa mpaka leo?
Acha kuzingua Mungu anaipenda sana Tanzania labda wewe una mungu mwingine!Mungu kwa nini tunafanyiwa hivi watu wako
kwa sababu mmezidi ufisadiMungu kwa nini tunafanyiwa hivi watu wako
mahakimu wako busy na mambo ya msingisawa, kama ilikosewa kwanini haijafutwa mpaka leo?
Unaweza kusema hivyo kwa kuwa hadi leo hakuna anayefahamu sababu za mkurugenzi mkuu wa tume hiyo ya uchaguzi Dkt Athumani Kihamia kupewa cheo hicho akitokea Jiji la Arusha ambako alifanya vurugu nyingi sana na kupelekea kuundwa tume ya kumchunguza na alikuwa anafanya kazi za siasa zaidi kuliko za utendaji huku akimjeruhi kila mtumishi wa jiji aliyepinga falsafa zake tata huku akiungwa mkono na RC Gambo na DC Dakaro na Catherine Magige mbunge wa viti maalum.
Tunasema tume imevamiwa kwa kuwa falsafa za Dkt Kihamia ni ngumu kutekelezeka katika utawala wa sheria kwa kuwa anachoamini yeye ndicho kitakachotekelezwa na atakayempinga atakuwa adui na atashughulikiwa tena hadharani na ndiyo maana baadhi ya vikao vya kamati na baraza la madiwani vilitawaliwa na vurugu za aibu na hata wakati mwingine watu kupigana ngumi mbele ya wananchi na wakati mwingine kuvunjika vikao hivyo. Jiji hilo lilikuwa likiendeshwa kama kikosi cha jeshi yaani amri zilikuwa nyingi kuliko utawala wa sheria.
Viongozi wa namna hii hawafai kuwa watendaji wakuu, huyu ni mwanasiasa kiasili tena wale wenye roho ngumu. Ushahidi wa hili ni kesi inayomkabili hadi leo kule Arusha akihusishwa kupanga na kutekeleza mkakati na kufanikiwa kumteka Mwalimu Batuli Hamadi Kisaya wa shule ya msingi Unga limited iliyopo jijini Arusha mnamo septemba 2016 akishirikiana na mbunge Catherine Magige na Mrisho Gambo RC Arusha, kesi ambayo bado inaendelea, sababu za mwalimu huyo kutekwa, kuteswa na kutupwa porini kabla ya kuokotwa na wasamaria wema na kupelekwa hospitali ya rufaa ya mount meru na kulazwa wiki 2 ambapo alisema alitekwa maeneo ya nyumbani kwake akitokea dukani kwa kutishiwa kwa bunduki na vijana 6 ambao inasemekana ni wafuasi wa UVCCM.
Mwl Batuli alikuwa akimlalamikia mkurugenzi huyo kwa kumvua madaraka ya uratibu elimu kata bila sababu za msingi. Mkurugenzi huyu aliwakomoa watendaji wa kata na vijiji wengi kwa kuwahamishia maeneo yenye mazingira magumu na kuna wakati baadhi ya watumishi waliamua kuacha kazi wakiwemo wanasheria 4 maafisa utumishi 2 wahasibu 3 maafisa manunuzi 4 na kusitisha ajira halali 66 za watumishi wa mikataba na kufuta ajira 22 za mgambo wote wa jiji huku akiwashitaki mahakamani madiwani 2 kwa tuhuma ambazo hazina mashiko na akamsweka ndani naibu meya kwa siku moja baada ya kulumbana kwenye kikao ambapo polisi hawakuona kosa la naibu meya huyo.
Kitendo cha utekaji ni kibaya sana ambacho hakiashirii mema hata huko TUME wajiandae kufanyiwa ubabe, vurugu na hata kutekwa hasa akibishiwa sera zake zenye utata.
Naamini Mhe. rais hamjui vizuri huyu mtekaji angemjua asingemteua.
TUKEMEE HALI HII
View attachment 901688
kkkkkkk !
YESU yuaja !
Anamjua mkuu ndio mana amempa hyo ndugu.Watu wenye sifa za kihuni na kuvunja sheria ndio anaowapenda jiwe.....Tulilamba jiwe kwelikweli mana halisikii wala haliambilikiUnaweza kusema hivyo kwa kuwa hadi leo hakuna anayefahamu sababu za mkurugenzi mkuu wa tume hiyo ya uchaguzi Dkt Athumani Kihamia kupewa cheo hicho akitokea Jiji la Arusha ambako alifanya vurugu nyingi sana na kupelekea kuundwa tume ya kumchunguza na alikuwa anafanya kazi za siasa zaidi kuliko za utendaji huku akimjeruhi kila mtumishi wa jiji aliyepinga falsafa zake tata huku akiungwa mkono na RC Gambo na DC Dakaro na Catherine Magige mbunge wa viti maalum.
Tunasema tume imevamiwa kwa kuwa falsafa za Dkt Kihamia ni ngumu kutekelezeka katika utawala wa sheria kwa kuwa anachoamini yeye ndicho kitakachotekelezwa na atakayempinga atakuwa adui na atashughulikiwa tena hadharani na ndiyo maana baadhi ya vikao vya kamati na baraza la madiwani vilitawaliwa na vurugu za aibu na hata wakati mwingine watu kupigana ngumi mbele ya wananchi na wakati mwingine kuvunjika vikao hivyo. Jiji hilo lilikuwa likiendeshwa kama kikosi cha jeshi yaani amri zilikuwa nyingi kuliko utawala wa sheria.
Viongozi wa namna hii hawafai kuwa watendaji wakuu, huyu ni mwanasiasa kiasili tena wale wenye roho ngumu. Ushahidi wa hili ni kesi inayomkabili hadi leo kule Arusha akihusishwa kupanga na kutekeleza mkakati na kufanikiwa kumteka Mwalimu Batuli Hamadi Kisaya wa shule ya msingi Unga limited iliyopo jijini Arusha mnamo septemba 2016 akishirikiana na mbunge Catherine Magige na Mrisho Gambo RC Arusha, kesi ambayo bado inaendelea, sababu za mwalimu huyo kutekwa, kuteswa na kutupwa porini kabla ya kuokotwa na wasamaria wema na kupelekwa hospitali ya rufaa ya mount meru na kulazwa wiki 2 ambapo alisema alitekwa maeneo ya nyumbani kwake akitokea dukani kwa kutishiwa kwa bunduki na vijana 6 ambao inasemekana ni wafuasi wa UVCCM.
Mwl Batuli alikuwa akimlalamikia mkurugenzi huyo kwa kumvua madaraka ya uratibu elimu kata bila sababu za msingi. Mkurugenzi huyu aliwakomoa watendaji wa kata na vijiji wengi kwa kuwahamishia maeneo yenye mazingira magumu na kuna wakati baadhi ya watumishi waliamua kuacha kazi wakiwemo wanasheria 4 maafisa utumishi 2 wahasibu 3 maafisa manunuzi 4 na kusitisha ajira halali 66 za watumishi wa mikataba na kufuta ajira 22 za mgambo wote wa jiji huku akiwashitaki mahakamani madiwani 2 kwa tuhuma ambazo hazina mashiko na akamsweka ndani naibu meya kwa siku moja baada ya kulumbana kwenye kikao ambapo polisi hawakuona kosa la naibu meya huyo.
Kitendo cha utekaji ni kibaya sana ambacho hakiashirii mema hata huko TUME wajiandae kufanyiwa ubabe, vurugu na hata kutekwa hasa akibishiwa sera zake zenye utata.
Naamini Mhe. rais hamjui vizuri huyu mtekaji angemjua asingemteua.
TUKEMEE HALI HII
View attachment 901688
Na wewe unafurahi kwa huyo dokta mavichoroni kutesa demokrasia?Dkt. Kihamia anawapa tabu sanaaaaaaa
Mungu kwa nini tunafanyiwa hivi watu wako
Na wewe unafurahi kwa huyo dokta mavichoroni kutesa demokrasia?
We are wired differently aisee.....
What kind of human being are you unaona uonevu unachekelea?
Anamjua mkuu ndio mana amempa hyo ndugu.Watu wenye sifa za kihuni na kuvunja sheria ndio anaowapenda jiwe.....Tulilamba jiwe kwelikweli mana halisikii wala haliambiliki
Completely out of scope...acha kuvamia hoja zisizo kuhusuBro umeshawahi kumwambia nini au uko unaweweseka!
Lili jiji siyo lelemama...!!!Jiji hilo lilikuwa likiendeshwa kama kikosi cha jeshi yaani amri zilikuwa nyingi kuliko utawala wa sheria.
Mkuu utateseka sana kumfikiria mabaya mtu anayewanyosha waharifu na wasiojielewa!
Completely out of scope...acha kuvamia hoja zisizo kuhusu
Duh
Labda uniambie kwenye uchaguzi TZ hii wahalifu ni akina nani?
Na wasiojielewa ni akina nani?
Na Tume ya Uchaguzi imewanyoosha lini na kwa hatua zipi?
Just be honest uende mbinguni!