Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
791
Reaction score
417
Habari,

Kwa wale tuliofanya usaili tar 2 february pale tume ya taifa ya uchaguzi kwa kazi ya daftari la wapiga kura tunaomba mwenye taarifa yoyote atujuze mana kimya kingi na hatujui kama kuna watu washaitwa au la.

Yeyote mwenye taarifa za jikoni tunaomba atujuze.
 
Hzo kazi zilitangazwa kwenye media gani?
 
Kwani kipindi zilitoks hizo nafasi mlisema? Leo unaniuliza mie nikujibu nini
 
mtoa mada una asili ya roho mbaya bse zilipotangazwa ulikausha naata yakitoka majina hutopata kazii
 
binadamu tunamatatizo sana hasa sisi wabongo.

we kama mtu kauliza swali' siunamjibu kama unafahamu?

Kiukweli mi sijajua sana' ila inasemekana wamechaguliwa watu 160 tu kati ya watu wote waliofanya usaili name Leo tar 23 ndo daftari limefunguliwa rasmi bado tu watu kuitwa kwa ajili ya kupewa vituo. kama utakua ni mmoja ya washindi, utamshukuru mungu maana hapo ndipo watu watakapo tajirikia.

laki moja kila siku so mchezo kwa mud a wa miezi saba, kibongobongo inatosha
 
binadamu tunamatatizo sana hasa sisi wabongo. we kama mtu kauliza swali' siunamjibu kama
unafahamu? Kiukweli mi sijajua sana' ila inasemekana wamechaguliwa watu 160 tu kati ya watu
wote waliofanya usaili name Leo tar 23 ndo daftari limefunguliwa rasmi bado tu watu kuitwa kwa
ajili ya kupewa vituo. kama utakua ni mmoja ya washindi, utamshukuru mungu maana hapo
ndipo watu watakapo tajirikia. laki moja kila siku so mchezo kwa mud a wa miezi saba,
kibongobongo inatosha

Shukrani kwa taarifa agri.ubarikiwe sana
 
hii kweli tz kila k2 ni michongo na kujuana. hakuna siku imepita bila kucheki blogu na tovutI zote znazowekA matangazO yA ajirA.lakn tangazo la NEC wala cjuI lilitolewA waP nashangaA tU leo watU wanauliziA matokeo ya usaili.hongera zenu kwa waliofanikiwa kupata
 
Jamani, hawakutaka kutangaza kwa kuwa watu wengi walikuwa nao wenyewe, watu wengi katika zoezi hilo ni TIS (Usalama). Kwa sasa chama kipo kwenye kipindi cha matayarisho ya kuhakikisha dola haipotei, kwa hiyo ni lazima wawepo watu wa kutoa taarifa za waandikishwaji na waandikishaji kwa wakuu wa chama na serikali ili kujua mwenendo mzima wa uchaguzi utakavyokuwa!
 
hii kweli tz kila k2 ni michongo na kujuana. hakuna siku imepita bila kucheki blogu na tovutI zote znazowekA matangazO yA ajirA.lakn tangazo la NEC wala cjuI lilitolewA waP nashangaA tU leo watU wanauliziA matokeo ya usaili.hongera zenu kwa waliofanikiwa kupata
Maneno yako ni ya kweli kabisa! Hata cjui wenzetu wamezitoa wap hizo nafas
 
Back
Top Bottom