Tume Ya Taifa ya Uchaguzi yapinga zuio la kutumia viwanja vya Jangwani tarehe 29 Agosti, 2015

Huu unyanyasaji kuna siku utakuwa na mwisho tu. Wakati Obama anagombea urais hakuna mzungu angeamini kuwa ataiona ikulu, lakini hadi leo anatimiza vipindi viwili madarakani akiwaongoza wazungu
 
Hizi ni dalili za uoga na dawa ya mtoto mwoga ni fimbo tu kudadadeki huwezi kuomba mechi halafu ukimbie mazoezi hata kama yanauma.
 
Ati mkurugenzi wa manispaa ya ilala hajui kwani yuko safarini, inawezekana kweli
 
Asante sana CCM kwa kituko hiki cha leo mmeingeza kura za lowasa sisizopungua 10,000 kwa tukio hili tu
 
Hawa masisiem wameshapaniki .mkutano tutafanyia pale pale jangwani wapenda mabadiliko wote mnakaribishwa .

MAJANI PELEKA KWA NG'OMBE IKULU LOWASA ANATOSHA
 
Huu unyanyasaji kuna siku utakuwa na mwisho tu. Wakati Obama anagombea urais hakuna mzungu angeamini kuwa ataiona ikulu, lakini hadi leo anatimiza vipindi viwili madarakani akiwaongoza wazungu

Unataka kusema nini hapo? Unataka kutuambia Lowassa ni mtu mweusi na CCM ni Wazungu?? Acha Upumbavu wewe, vitu vingine havina uwiano kabisa lakini mnalinganisha tu ili kujifariji. Hii "mihemko" ya kisiasa itawaisha tu siku mtakapomuona Dk. Magufuli akiapishwa kuwa Rais wenu. Mtaisoma namba.
 
Nimesikia Mkurungezi wa manispaa ilala akihojiwa na ITV kasema yeye yupo Arusha kwa kikao hivyo hajui lolote...
 
Zungumzia uhalisia na sio mifano mmurugenz kaulizwa amkodsha nan ili watu wakaongee nae hatak kumtaja alaf unasema nn ww

Siyo kazi yake kutaja waliopewa kibali..siyo utaratibu,,mlitakiwa kufanya booking mapema msimtafute mchawi kwa uzembe wenu..!!
 
Tuende pale jangwani, tukizuiwa Mh. Lowasa aseme maneno matano tu hapo uwanjani tutaridhika. Aseme tu "kampeni za ukawa zimefunguliwa rasmi", basi tuendelee na ratiba za mikoani
 
Ee Mungu tunakuomba utupe mageuzi nchini Tanzanian maskini waneemeke na rasilimali za nchi.
 
Kutokana na uzoefu..ACT..inaweza kubadilishiwa na wakapewa sehemu ndogo zaidi..maana inaeleweka nyomi ya ukawa inatisha..ni swala la kufikiri kwa makini tu mkuu..wala haihitaji vifungu vya sheria..labda uwe na lako jambo..over!

Hahaa haya maneno yako ukimwbia Zito anaweza kukujibu yale maneno mawili ya mzee mkapa mkuu...! Over
 
Siyo kazi yake kutaja waliopewa kibali..siyo utaratibu,,mlitakiwa kufanya booking mapema msimtafute mchawi kwa uzembe wenu..!!

Kirahis rahis kama unavyojib kila ktu kwenu n confidential jmos tunaenda kufuta mbwembwe zenu zte natapotea kabisa kisiasa na nasikia mshaanza kupga marufuku matumiz ya hellcopter
 
kama kuna mtu ambaye hataki kuona mkutano wa UKAWA jangwani ahame dar es salaam , bado kuna siku mbili za kufunga virago .
 
Back
Top Bottom