Ngoja ngoma inogile tuombe haki itendeke kusiwe na vipigo.Pia dawa nyingine ni KUWANYIMA chadema kura ili wawe makini na wanaowateua "WASIWE WATU WA KUNUNULIKA", dawa ni kuifuta kabisa chadema kwenye uso wa siasa za bongo.

Non sense kabisa.. Kubana matumizi kwa matanuzi. Sisiem ni shitholeAlafu utasikia eti hii ni awamu ya kubana matumizi!!
Chadema kususa ni jadi yao sioni jambo jipya.Kwahiyo unaona kususia ndiyo suluhu?
Songea na Singida kaskazini ambako ususiaji umefanyika,kuna chochote kilichoshtua chama dola kua kinachofanyika katika chaguzi hizi si cha uimgwana?
Mkuu,Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amesema wamejiandaa kutumia shilingi bilioni moja kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni.View attachment 682132
Halafu utakuta mtu hajui kwanini nchi yetu ni masikini.
Kule songea na singida hakukuwa na uchaguzi,ndiyo maana tume haijatumia gharama yoyote.Kama mnaona ni gharama na serikali inatumia hela vibaya za walipa kodi na nyinyi ni wazalendo kwa nini msisusie uchaguzi huu ili wagombea wapite bila uchaguzi wowote na pia itaonesha kuwa hamuungi mkono uchaguzi huo sababu umegubikwa matumizi mabaya ya fedha....ila kumbuka democrasia ni gharama.
Le mutuz, Jerry muro, Lipumba na Maliyamungu Bashite ndiyo walibuni mladi mkubwa wa kuwanunua Wapinzani kwa pesa za walipa kodi ambao wengi sio CCM, Hazina pesa inachukuliwa kienyeji na Maliyamungu Bashite na timu yake mda wowote pindi akijisikia kwenda kuchota kwa kisingizio cha kuzitumia kudhoofisha upinzani. Kwa sasa Madalali wa siasa toka CCM ni matajiri wakubwa kupitia Hizo hizo pesa za kuwanunua wabunge, madiwani na wanachama wa kawaida.Anaandika Mwenyekiti wa CUF Julias Mtatiro
TUMELAANIWA!!!
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetenga bajeti ya Shilingi Bilioni 1 (Milioni 1000) FEDHA ZA WALIPA KODI MASIKINI, ili kusimamia uchaguzi wa jimbo la Kinondoni - DSM.
Serikali yetu inazo Shilingi Bilioni 1 za kusimamia uchaguzi ambao umelazimishwa na serikali hiyo hiyo ambayo imemfanya aliyekuwa mbunge kuwa bidhaa na kisha inamrejesha sokoni ili anunuliwe tena.
1 Billion ni sawa na Pikipiki 500 mpya ambazo zingeteneza ajira mpya 500 kwa vijana 500 na kuzaa faida ya shilingi Bilioni 1.44 kwa mwaka mmoja.
Shs Bilioni 1 zinaweza kununua matrekta madogo ya kilimo yapatayo 100 ambayo yanaweza kulima ekari 30,000 kwa mwaka na kuzalisha mazao yenye thamani ya mabilioni ya pesa.
Shs Bilioni 1 zinaweza kutoa mikopo ya elimu ya juu kwa vijana 220 kwa mwaka mzima, na vijana hao 200 wakaja kuzalisha mabilioni ya pesa kwenye uchumi wa nchi.
Shs Bilioni 1 zinaweza kulipa mshahara wa mlinzi kwa mwaka mzima kwenye jumla ya shule 555 nchi nzima na kwa hiyo migogoro ya shule kuchangisha wazazi pesa za walinzi ikafia hapo.
Shilingi Bilioni 1 zinaweza kuanzisha jumla ya biashara 2,000 kwa wajasiriamali 2000 wadogo ambao kila mmoja anaweza kuzalisha faida ya Shilingi 200,000 - 300,000 kwa mwezi na kwa ujumla wakazalisha Shilingi Bilioni 4.5 kwa mwaka mmoja, kama faida.
Lakini, kinchi masikini na ombaomba kama hiki cha kwetu, kimejiingiza kwenye biashara ya kununua wabunge na madiwani, na matokeo yake badala tutumie fedha za serikali kuzalisha ajira, kupanua mitaji, kukuza uchumi na kuboresha maisha ya watu wetu - tunatumia fedha hizo ili kufanyisha uchaguzi mpya ambao utapelekea wabunge wabadilishe vyama na kuingia CCM?
Mambo mengine yanahitaji akili ndogo kweli! Mngeliweza kusubiri 2020 mkanunua wabunge na madiwani wote wa upinzani. Na kati ya 2015 - 2020 mkatumia kila SENTI yenu kuzalisha ajira na kukuza uchumi. Badala yake, muda huu wa kuzalisha ajira na kukuza uchumi ndipo mnatumia fedha za walipa kodi kununua madiwani na wabunge na kurudua chaguzi.
Ikifika 2020 mtakuwa mmeumiza maisha ya familia ngapi? Mtakuwa mmewanyima vijana wangapi mitaji? Mtakuwa mmewapora vijana wangapi bodaboda? Mtakuwa mmewaua wakulima wangapi wanaolima kimasikini kwa jembe la mkono?
Wakati fulani huwa nahisi tumelaaniwa.
[HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J.
Pesa nyingi itatumika sana, zaidi ya bilion 5 huenda zinatumika ili kumsaidia CCM ishinde hata ushindi feki kwa kutumia polisiccm na uchakachuaji mkubwa.Na hiyo hesabu hapo ndio wameipunguza mpaka basi wakaona waitaje.....walivyokua wapuuzi wanaitaja huku wanafurahi as if wanaitoa wao mifukoni.......
Hatujalaniwa mkuu.kipaumbele chetu ni ccm ili iendelee kulinda nakaburi,hao wengine uliowataja acha wahangaike na hali zao wenyewe maana kama wao wenyewe hawajidhamini why sisi tuwadhamini?Anaandika Mwenyekiti wa CUF Julias Mtatiro