halafu kinondoni mnamchagua mtulia aliyetusababishia hii hasara?? Hii pesa ingenunua dawa na vifaa vya elimu kwa watoto wetu.Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amesema wamejiandaa kutumia shilingi bilioni moja kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni.View attachment 682132
Kweli kabisa, mimi najipanga kuuza maji na juisi kwenye mikusanyiko ya kampeni, hizi ndo fursa adimu, wananchi tuzichangamkieSawa ndo wengine wanapatiepo mzunguko wa maisha wenye tenda watalipwa mawakala nao pamoja wengineo
Gilisi hiyo ya kulainisha baadhi ya vyuma
Kweli kupanga ni kuchagua. Hizi pesa zingesaidia mambo mangapi kwa wanakinondoni
Pesa inayotumika kurudia chaguzi, kuwanunua Wapinzani, kuwabambikia kesi, kuwahujumu, kuwapiga Risasi, ni pesa nyingi sana na kama CCM wangekuwa wanatumia hizo pesa kupeleka maendeleo majimboni wangekuwa wanavuna kura pasipo kufanya uchakachuaji wowote ule, wala kutumia polisiccm kuiba kura.Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amesema wamejiandaa kutumia shilingi bilioni moja kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni.View attachment 682132
Halafu utakuta mtu hajui kwanini nchi yetu ni masikini, mkiitwa 'shithole' countries mnakasirika.