Tume ya Sayansi na Technologia (COSTECH) – Kijitonyama


bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
3,385
Likes
32
Points
145
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
3,385 32 145
[FONT=&quot]Wanajamii samahani kama swali hili litakuwa lilishaulizwa hapo mwanzo maana wengine ndiyo kwanza tuna mwaka tumejiunga na JF. Swali langu laleo nataka kufahamishwa kazi za hii tume ya Sayansi na Technologia maana sijawahi hata kusikia kuwa wamevumbua kiberiti ama kitu chochote cha maana zaidi ya kupita kwenye zile ofisi na kukuta majitaka mpaka mlangoni na pia wakati wa usiku ni giza totoro inasadikika kuwa wananunua umeme wa luku kwa matumizi ya muda wa kazi then muda wa kazi ukiisha na luku inaisha na inatakiwa usubirie mpaka kesho wakinunua tena.[/FONT]
[FONT=&quot]Sasa tume ya sayansi imezungukwa na maji machafu plus hawana umeme which means hata kufanya utafiti ni kazi sana. Kwa kusema hayo please ambae anajua uvumbuzi wa tume hii tokea ianzishwe alielezee jamvi ama mwenye kujua kazi za hii tume ya science atuelezee maana naona wanakula mshahara tu wa bure basi[/FONT]
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,617
Likes
6,130
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,617 6,130 280
ni Taasisi ambayo watu wanakula mshahara tuu kama ilivyo TIRDO,NPI,RTC etc na wazee wastaafu kuchota pesa kwa tafiti zisizotekelezwa na serikali.Hakuna vijana wa kuichangamsha taasisi
 
Kyenju

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Messages
4,573
Likes
292
Points
180
Kyenju

Kyenju

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2012
4,573 292 180
Hizi ni tume zisizo na tija kwa taifa. ni kupeana ulaji tu.
Kwanza sina uhakika kama wana wataalamu waliobobea. Ngoja tusubiri michango ya wadau labda yapo wanayo yafahamu.
 

Forum statistics

Threads 1,274,693
Members 490,736
Posts 30,521,144