Hakuna soko huria duniani kote bila kuwa na utaratibu unaotoa mwongozo kwa mambo ya msingi.Mh si soko huria hili au?
Kama wiki moja iliyopita nilizungumzia kuhusu ulaji mwingine kwa wakubwa, utaona wanapeana ajira mwisho wa siku ada zitabaki pale pale!Tanzania kila kitu ni tume tume! makabati yena hayajajaa tu mkaachana na vitu msivyovifanyia kazi nyie viongozi?
na ukizingatia hizo shule wao ndio wamiliki,kama ile moja ya bagamoyo nasikia ni ya mr dhaifu ada yake si mchezoKama wiki moja iliyopita nilizungumzia kuhusu ulaji mwingine kwa wakubwa, utaona wanapeana ajira mwisho wa siku ada zitabaki pale pale!
Yaani hiyo wasilete longolongo ya ahadi hewa tunataka utekelezaji mara ifikapo January, siyo waje na kauli; tunajipanga, mchakato unaendelea,na maupuuzi kama hayo.
Hizi shule zinatuumiza sana, eti kabla ya mtoto kujiunga unalipa laki 4 za majengo kisha katikati ya mwaka wanaitisha mkutano tena wakiwa na mikakati hiyohiyo na kuwalazimisha wazazi wachange laki mbilimbili kila mwaka kwa ajili ya ujenzi - inakera sana, yaani mzazi ni kitega uchumi cha wamiliki wa shule.
Yaani ikiwezekana warudishe na zile walichangisha kwa hila kama nilivyoeleza hapa.
Natanguliza shukurani kwa serikali kwa kuliona na kulishughulikia hili.
Wakuu nashukuru sana kwa kujadili hii mada,mimi ni mwathirika na hiza ADA nina watoto wawili nasomesha shule binafsi nalipa ada sh 940,000 kila mtoto na hapo ni bila usafiri na chakula.kwa kipato changu siwezi kujega wala kufanya chochote cha maana zaidi ya kusomesha.
Hakuna soko huria duniani kote bila kuwa na utaratibu unaotoa mwongozo kwa mambo ya msingi.[/QUOTE
OOK!
Waunde na tume ya bei za gesti pia.......what nonsense......hviv hawajui kuwa viwango vya huduma za kielimu hutofautiana kama ilivyo uwezo wa wazazi kilipa ada?
Mh makubwa zinakupa shida bro punguza matumizi ya nyumba hizo, mwisho wake si mzuri sana.