Tume ya Kuchunguza kadhia ya Law School inapaswa kuwa huru

Una upeo finyu sana, ajabu nawe ndie mhitimu wa hiyo Law School.

Mtu akilalamikia watuhumiwa wa panya rodi kuuwawa mikononi mwa polisi bila kufikishwa mahakamani, mnamuita naye ni panyarodi.

Huyu anayeonesha tatizo la mambo yanavyokwenda pale Law School naye unamuita ana supp, kama vile alikuonesha matokeo yake, kwa upeo wako finyu, mtu akifaulu mahali hawezi kuona tatizo lolote la mahali husika, kwako sharti apasifie tu.

Elimu uliyoipata haijakukomboa kifikra, wewe bado ni mtumwa.

Kuwapa umuhimu watu ambao uwezo wao wa kuchakata mambo si zaidi ya u Yanga na u Simba ni kupoteza muda.
 
Si kila mtu anaweza kuelewa kinachoongelewa hapa. Wenye akili zao wameelewa na sasa wanaongelea umuhimu wa tume.

Wengine hata mkikaa kwa kutulia tu mkaendelea na mada zenu za Simba na Yanga kwani kuna ubaya gani ndugu?
Wenye akili zao wanakuona kilaza mkuu.

Unapambania ujinga.
 
Kama tafsiri ya Ndumbaro ni kuwa pass na supp ni kufaulu basi:

View attachment 2385449

Kumbe ni ufaulu wa 58%?

Kwa nini UDSM Faculty of Law Iko kwenye Governing Body ya LST? Kwanini siyo Tumaini, Saut nk?

Lugha za Dr. Ndumbaro muunda tume hazina afya kwa mustakabala wa haki LST.

Suala la reshuffle kamili LST haliepukiki.
Unahojahoja? Kwan LST ilianzishwa na udsm??Na Kwanini walimu wa udsm wamedominate Hapo LST?
 
Back
Top Bottom