Tume ya Chande si Huru: Kwanini?

Tume ya Chande si Huru: Kwanini?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,143
Reaction score
96,172
Leo wamezuia waandishi kurusha mahojiano ya wahanga wa 29 Oct

Kwanini? Kila mhanga anam implicate aliyewateua!

Hàlafu utegemee ukweli kuandikwa na vibaraka Chande et al!

Shangazi you are absolutely right when the evidence becomes incriminating the sexed retired CJ-Judge Chande a pathetic CCM sycophant has unilaterally decided to block the press I tell you it’s a house of cards and nowhere can Samia Suluhu and her cronies hide it’s game over!
 
Itakuwa Tume tayari inayo matokeo ya uchunguzi mfukoni kwa maelekezo ya bosi wao, kwa hiyo uwazi utawaharibia mambo
 
Leo wamezuia waandishi kurusha mahojiano ya wahanga wa 29 Oct

Kwanini? Kila mhanga anam implicate aliyewateua!

Hàlafu utegemee ukweli kuandikwa na vibaraka Chande et al!

Shangazi you are absolutely right when the evidence becomes incriminating the sexed retired CJ-Judge Chande a pathetic CCM sycophant has unilaterally decided to block the press I tell you it’s a house of cards and nowhere can Samia Suluhu and her cronies hide it’s game over!
Whoever do not believe in presence of God and his holiness is varnished and forgotten even by the worst devil demon in this universe
 
Leo wamezuia waandishi kurusha mahojiano ya wahanga wa 29 Oct

Kwanini? Kila mhanga anam implicate aliyewateua!

Hàlafu utegemee ukweli kuandikwa na vibaraka Chande et al!

Shangazi you are absolutely right when the evidence becomes incriminating the sexed retired CJ-Judge Chande a pathetic CCM sycophant has unilaterally decided to block the press I tell you it’s a house of cards and nowhere can Samia Suluhu and her cronies hide it’s game over!
Kikao kilifanyikia wapi ukumbi wa Bot au ukumbi wa manispaa ya simiyu?
 
Leo wamezuia waandishi kurusha mahojiano ya wahanga wa 29 Oct

Kwanini? Kila mhanga anam implicate aliyewateua!

Hàlafu utegemee ukweli kuandikwa na vibaraka Chande et al!

Shangazi you are absolutely right when the evidence becomes incriminating the sexed retired CJ-Judge Chande a pathetic CCM sycophant has unilaterally decided to block the press I tell you it’s a house of cards and nowhere can Samia Suluhu and her cronies hide it’s game over!
Nilivyoona watu wanafunguka baada ya kufika Dar es Salaam hili la kuzuia wanahabari nililitarajia. Kwanza nilijiuliza;

1. Hii tume imejiamini nini kuruhusu vyombo vya habari? Je, wameamua "kuokoka na kumkiri Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao"?
au
2. Huko walikoanzia watu hawakuwa na ujasiri wa kuyasema mambo kwa uwazi wakajua kote itakuwa hivyo hivyo?
 
Umeshasema Ni Tume ya Chande mbona unasema tena si Tume.

Mkuu unatuchanganya
 
Nilivyoona watu wanafunguka baada ya kufika Dar es Salaam hili la kuzuia wanahabari nililitarajia. Kwanza nilijiuliza;

1. Hii tume imejiamini nini kuruhusu vyombo vya habari? Je, wameamua "kuokoka na kumkiri Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao"?
au
2. Huko walikoanzia watu hawakuwa na ujasiri wa kuyasema mambo kwa uwazi wakajua kote itakuwa hivyo hivyo?
Transparency ni kazi ngumu sana panapokuwa hapana uadilifu
 
Leo wamezuia waandishi kurusha mahojiano ya wahanga wa 29 Oct

Kwanini? Kila mhanga anam implicate aliyewateua!

Hàlafu utegemee ukweli kuandikwa na vibaraka Chande et al!

Shangazi you are absolutely right when the evidence becomes incriminating the sexed retired CJ-Judge Chande a pathetic CCM sycophant has unilaterally decided to block the press I tell you it’s a house of cards and nowhere can Samia Suluhu and her cronies hide it’s game over!
Mlitegemea nini kutoka kwenye Tume ya mchongo!?
 
it’s game over!
Says who?
Umezungumza na acamillius Wambura kakwambia mitutu ya bunduki za waTanzania sasa zinarudishwa kwa wenyewe?

Unayo maana gani na hiyo "It's game over"?

Hiyo tume itaendelea na kazi yake iliyoundiwa; ya kusafisha uchafu; na akina Camillius wenyewe wasipokuwa makini ndio watakuwa Bangusilo, muunda tume atabaki safi kabisa kwenye ripoti yao
Hao akina Camillius ni vikaratasi tu vya chooni; vitawekwa vingine na maisha yataendelea kama kawaida; huku waTanzania wakikandamizwa vilevile.
 
Matukio yote yako documented CNN, Aljazeera , DW hakukua na haja kupoteza muda kuunda tume ilitakiwa waliohusika kuua watu wawajibishwe na kufungwa .
 
Itakuwa huru kivipi wakati aliyewatuma ndiye muhusika..!!
 
Uzuri ni kuwa vyombo vya habari vya kimataifa(CNN, BBC,DW,Al Jazeera) vimeshaweka wazi kila kitu so hiyo tume ya samuya hata ikipika data(ambacho ndicho wanaenda kufanya anyway) hakuna mwenye akili timamu atawaelewa.
 
Pale wanapiga hela za mlipa Kodi tu!
Banana republic at its best!
 
Back
Top Bottom