Tume mmetudharirisha sana kumdai Tr 110 mwenye mtaji wa tr 2.6!!

we nawe ni zero brain tu
2010 - 2013 ACACIA ililipa 400,000,000/= usd kama gawio kwa wanahisa
400,000,000 x 2200 = 880,000,000,000/=
hapo nimekupa mfano tu wa kilichokuwa kinafanyika
MADAI HUWA HAYANA KIWANGO THABITI
unaweza ukawa unadai sh 2000/= kwa uhalisia
lakini ukakisia na kudai sh 10,000/= kwa sababu zako unaona zitahalalisha madai yako mfano wizi usio kuwa na uthibitisho wa hesabu kamili iliyoibiwa.
wala unaemdai hawezi kukudharau eti umemdai kiwango kikubwa sana ataomba umpunguzie.
 
Acheni tulipwe hela yetu nikakamate NOAH yangu mimi, na hata kodi sitalipa nafikiri kwasababu bajeti ya miaka 5 itakuwa imepatikana kwahiyo tutakuwa hatuhitaji vijisenti vyenu mnapouza vidude vyenu
Jambo la kushukuru kutokana na kamati zetu yaani wanatulipa hela inayotosha kila mtu kumiliki NOAH na bajeti yetu ya miaka 5 itapatikana na wataendelea kulipa tena kama wanaitaka migodi yetu kuanzia mwezi wa 7. Aisee nisipojenga ghorofa awamu hii kufaleki sitajenga tena mbona hiyo mihela ya madini ni ya kumwaga
 
Hiyo 2020 hatuangalia hizi ngonjera zake. Tutamhukumu kwa vile alivyoahidi. Sasa we mwache afikiri hiyo 2020 atapata mteremko kwa hizi headlines za kila siku.
Naona kazi anayoiweza ni kutumbua na kuteua, kwa hilo anastahili kusifiwa. Ila mengine ni bashite wa kutupwa.
 
You hit the target
 
Yaani wewe unawakilisha akili ya ngozi nyeusi, ama kweli watu weusi wamelaaniwa kuwa watumwa wa wazungu. Unaamini data za wazungu?
facts ni facts tu si suala la mzungu, muhindi au msukuma.Kwa concluson hi ya leo nadhani JPM na tume zake waliamua kuongeza mazero ili wakikaa mezani angalau angalau waambulie kidogo.kuliko wangekuja na data za chini.Yaani kifupi Maprofesa wameamua kutumia akili za machinga wa karume kitu cha elfu mbili atakwambia elfu kumi ili mpelekeshane angalau ufike hata elfu tatu.
 


Acheni ushabiki enyi kizazi cha nyoka! Tupe basi hiyo fidia uliyoambiwa huko duniani ulipo....! Mwanaume povu linakutoka kila mahali ila unashindwa kuweka hesabu zako na wewe sahihi ili tuone ulivyo smart! Ipi ndo fidia sahihi kwako sasa! Au ulitaka nini kifanyike ili serikali iwe sahihi?
 
Tanzania haipewi hata trilioni moja.
Acacia wataishia kufunga hiyo migodi, muende kuchimba huko.
Ulijua kama watakuja Tanzania kwa private jet? Obvious hukujua. Then kaa kimya acha utabiri usio na tija mwezio sheikh yahya alikuwa analipwa.
 
Daah nikweli aisee,mi binafs nmeamua kurudisha chet changu udsm maana nmeona walim walionifundisha wamenidhoofisha sana.ni kwel tunaibiwa ila sio kwa ma digit hayo.
 
Hiv nyie mnazijua trilion au mnaskia?nchi yenyew inakesha mchana na usiku plus na za wahisan inakusanya hazijawai hata fika 20,..tunaibiwa ila mahesab yamepigwa vbaya
 
Yaani wewe unawakilisha akili ya ngozi nyeusi, ama kweli watu weusi wamelaaniwa kuwa watumwa wa wazungu. Unaamini data za wazungu?
Hapana hatuja laaniwa hata kidogo bali ni yeye na ukoo wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…