Kwa mwenye Mtaji wa Mil.3 aje nimpe idea

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Mimi ni mfanyabiashara wa biashara flani ambayo sitamani kuisema kwa kila mtu aijue kwani inabeba 90% ya identity yangu hapa JF nikiisema tu kila mtu atajua mimi ni nani.

Kwasasa sina pesa hiyo 3m ila kuna OFA nimeletewa na moja ya makampuni ninayo fanya nayo kazi ambapo imeanza wiki hii itaisha next week ijumaa.

Kijana ambae anataka kupata pesa na anafikiria biashara ya kufanya na hajui afanye biashara gani na mtaji wake ni 3m TU aje PM.

sichukui hata shilingi yako,ila kupitia wewe kununua mzigo utanunua kwa jina langu mzigo utakuja kwako Faida yangu ni wewe kukuza JINA langu na uaminifu kwa kampuni husika.

Narudia tena ikitokea umekuja PM nikakwambia nipe hata shilingi yako,Njoo nitolee report ya utapeli hapa kwa uongozi wa JamiiForums.

Mtaji ni 3m TU bidhaa unayoinunua hata ukae nayo MIAKA haiozi na the more unakaa nayo the more inaongezeka thamani kwahyo uamuzi ni wako uiuze urudishe hela yako na faida au ukaifiche unapojua uje uuze muda wako utakaoamua.

Kizuri kula na nduguzo,Mtaji ni 3m tu imefikaje fikaje 3m tutaeleweshana PM na atakaefanikisha naomba asiseme biashara gani nilimpa Connection ila nitaomba arudi kutoa mrejesho hapa hapa kwenye huu uzi.

Tusaidiane panapowezekana,tukiinuka tuinuke sote na kwa pamoja Kuna leo na Kesho.

NOTE : (Hii ni kwa wakazi wa DAR tu) kama upo mkoani sidhani kama itakufaa.

MUHIMU :

Unapokuja PM behave,Jiheshimu,adabu iwepo, Mtu anakuja hana salamu hana nini as tunajuana...

Ukikaribishwa chakula kwa watu kuwa na hekima na busara anza kunawa Mikono kwanza.

Vigezo na masharti kuzingatiwa, Sihitaji wahuni na watu wasiojitambua.

MREJESHO :

OFA IMEISHA,HIVYO ASIJE MTU PM KUULIZIA KUHUSU HII BIASHARA UKIJA PM NJOO KWA MLENGO WA KUFANYA BIASHARA HII LAKINI SI KWA FAIDA KUBWA KAMA AMBAVYO UNGECHUKUA KWA BEI HII YA OFA.

WALE WAKUWEKEZA PESA AMBAO HAMKUTAKA KUWA WAFANYABIASHARA HII PIA IMEPITA,UNAEKUJA PM UWE MFANYABIASHARA AU UNAETAKA KUIANZA HII BIASHARA WEWE KAMA WEWE.
 
Mimi ni mfanyabiashara wa biashara flani ambayo sitamani kuisema kwa kila mtu aijue kwani inabeba 90% ya identity yangu hapa JF nikiisema tu kila mtu atajua mimi ni nani.

Kwasasa sina pesa hiyo 3m ila kuna OFA nimeletewa na moja ya makampuni ninayo fanya nayo kazi ambapo imeanza wiki hii itaisha next week ijumaa.

Kijana ambae anataka kupata pesa na anafikiria biashara ya kufanya na hajui afanye biashara gani na mtaji wake ni 3m TU aje PM.

sichukui hata shilingi yako,ila kupitia wewe kununua mzigo utanunua kwa jina langu mzigo utakuja kwako Faida yangu ni wewe kukuza JINA langu na uaminifu kwa kampuni husika.

Narudia tena ikitokea umekuja PM nikakwambia nipe hata shilingi yako,Njoo nitolee report ya utapeli hapa kwa uongozi wa JamiiForums.

Mtaji ni 3m TU bidhaa unayoinunua hata ukae nayo MIAKA haiozi na the more unakaa nayo the more inaongezeka thamani kwahyo uamuzi ni wako uiuze urudishe hela yako na faida au ukaifiche unapojua uje uuze muda wako utakaoamua.

Kizuri kula na nduguzo,Mtaji ni 3m tu imefikaje fikaje 3m tutaeleweshana PM na atakaefanikisha naomba asiseme biashara gani nilimpa Connection ila nitaomba arudi kutoa mrejesho hapa hapa kwenye huu uzi.

Tusaidiane panapowezekana,tukiinuka tuinuke sote na kwa pamoja Kuna leo na Kesho.
3m inaleta faida ya sh ngapi kwa mwezi kabla hatujaja uk pm yako jubu hilo
 
Unaweza usiombe hela. Je, kama wewe ni Sales Manager wa kampuni husika umepewa lengo na unatumia njia hiyo kuifanikisha?

Bidhaa zimekuwa ngumu kutoka? Be honest, ni bidhaa gani?
 
3m inaleta faida ya sh ngapi kwa mwezi kabla hatujaja uk pm yako jubu hilo
1.Kama ukiamua kutaka faida ya mara moja hela yako 3m irudi upite vile uendelee na kazi zako zingine Utapata faida ya 8000 x 100 = 800,000

2.Kama ukiamua kuifanya biashara endelevu ukawa umeingia rasmi kwenye hiyo biashara utakua unatengeneza 4000 x 2 = 8000 (per day)
 
Hahaha!.

Million 3 upate faida ya 800k at per? Itachukua muda gani?

Kila mtu angeikimbilia hii biashara..
 
kama wewe ni Sales Manager
mimi sio sales manager mkuu,naifanya hiyo biashara na kabla mtu hajaweka hela yake nitampa location ya wapi ofisi yangu ilipo aje ajionee kwa vitendo ninachofanya kisha ataenda kujifikiria mwenyewe.

Trust me mkuu,najua hela ilivyo ngumu siwezi ingiza mtu chakike.

Kama mtu ana mashaka nipo radhi kukopa hiyo 3m kwa riba ya 1m ndani ya miezi miwili mtu anipe mimi hiyo 3m halafu rejesho ntamrudshia ndani ya miezi miwili ntampa 4m.

Maandishi na kila kitu yatafanyika hata mahakamani au popote ila sikutaka kukopa mtu pesa maana ndio kabisa ningetia watu mashaka,Nimetoa fursa hiyo.
 
You would have been straightforward, unataka mkopo.

Anyway, kila la kheri Mkuu.
 
Mimi ni mfanyabiashara wa biashara flani ambayo sitamani kuisema kwa kila mtu aijue kwani inabeba 90% ya identity yangu hapa JF nikiisema tu kila mtu atajua mimi ni nani.

Kwasasa sina pesa hiyo 3m ila kuna OFA nimeletewa na moja ya makampuni ninayo fanya nayo kazi ambapo imeanza wiki hii itaisha next week ijumaa.

Kijana ambae anataka kupata pesa na anafikiria biashara ya kufanya na hajui afanye biashara gani na mtaji wake ni 3m TU aje PM.

sichukui hata shilingi yako,ila kupitia wewe kununua mzigo utanunua kwa jina langu mzigo utakuja kwako Faida yangu ni wewe kukuza JINA langu na uaminifu kwa kampuni husika.

Narudia tena ikitokea umekuja PM nikakwambia nipe hata shilingi yako,Njoo nitolee report ya utapeli hapa kwa uongozi wa JamiiForums.

Mtaji ni 3m TU bidhaa unayoinunua hata ukae nayo MIAKA haiozi na the more unakaa nayo the more inaongezeka thamani kwahyo uamuzi ni wako uiuze urudishe hela yako na faida au ukaifiche unapojua uje uuze muda wako utakaoamua.

Kizuri kula na nduguzo,Mtaji ni 3m tu imefikaje fikaje 3m tutaeleweshana PM na atakaefanikisha naomba asiseme biashara gani nilimpa Connection ila nitaomba arudi kutoa mrejesho hapa hapa kwenye huu uzi.

Tusaidiane panapowezekana,tukiinuka tuinuke sote na kwa pamoja Kuna leo na Kesho.
Fraud
 
Mbona mimi naona unazunguka sana kwani ukisema tu wana jf mimi nimefulia nafanya biashara fulani(ukaitaja jina) na ukaomba kushikwa mkono atakaekuamini ataiona fursa hayo mambo ya kusema unakuza jina lankampuni sjui nini weka pembeni taja aina ya mzigo unaohitaji kununua ndio uombe kusaidiwa hayo mambo ya kurudisha rejesho sjui 4m ukishindwa inakuaje hapo
 
sijakuomba hata kumi yako na sitegemei kuomba yeyote.
 
Mimi ni mfanyabiashara wa biashara flani ambayo sitamani kuisema kwa kila mtu aijue kwani inabeba 90% ya identity yangu hapa JF nikiisema tu kila mtu atajua mimi ni nani.

Kwasasa sina pesa hiyo 3m ila kuna OFA nimeletewa na moja ya makampuni ninayo fanya nayo kazi ambapo imeanza wiki hii itaisha next week ijumaa.

Kijana ambae anataka kupata pesa na anafikiria biashara ya kufanya na hajui afanye biashara gani na mtaji wake ni 3m TU aje PM.

sichukui hata shilingi yako,ila kupitia wewe kununua mzigo utanunua kwa jina langu mzigo utakuja kwako Faida yangu ni wewe kukuza JINA langu na uaminifu kwa kampuni husika.

Narudia tena ikitokea umekuja PM nikakwambia nipe hata shilingi yako,Njoo nitolee report ya utapeli hapa kwa uongozi wa JamiiForums.

Mtaji ni 3m TU bidhaa unayoinunua hata ukae nayo MIAKA haiozi na the more unakaa nayo the more inaongezeka thamani kwahyo uamuzi ni wako uiuze urudishe hela yako na faida au ukaifiche unapojua uje uuze muda wako utakaoamua.

Kizuri kula na nduguzo,Mtaji ni 3m tu imefikaje fikaje 3m tutaeleweshana PM na atakaefanikisha naomba asiseme biashara gani nilimpa Connection ila nitaomba arudi kutoa mrejesho hapa hapa kwenye huu uzi.

Tusaidiane panapowezekana,tukiinuka tuinuke sote na kwa pamoja Kuna leo na Kesho.
Wewe ni CONTROLA hakuna asiekujua una ID kama zote humu Jf
 
Back
Top Bottom