Tume inasema waliojiandikisha Dar ni 2,800,000

Tume inasema waliojiandikisha Dar ni 2,800,000

Ilikuwa zamani sana hiyo!imebak kwenye vitabu tu
Acheni mwemko vijana uzoefu unaonyesha wanao iitokeza kupiga kura ni wachache sana hasa ukizingatia ccm watawatisha kutumia polisi na jeshi.

Uzoefu unaonyesha pia wanachama wa ccm wako very commited kwenye upigaji wa kura tofauti na wafuasi ambao hako serious.
 
Mkuu Mwaka Huu Watu Wengi Wasiopiga Kura Watapiga kura.Believe Me
 
husikeni na kichwa cha habari hapo juu.

Sasa kuna watu wanajitekenya na kucheka wenyewe eti yale mafuriko ya leo sio wapiga kura eti wasindikizaji.

Na badoo mtanyooka tu. Subirini kampeni zianze.

Mmemkata wenyewe mtaisoma namba. Yaani kila kona lowasa tuuu hakuna cha makufuli wala makomeo funguo tunazo sisi.

Say no to goli la mkono. Toroka uje. Tanzania kwanza.

Ujumbe umefika.

kwa sisi tunajua mpira..na tulioucheza sana tu...goli la mkono simpaka upate mpira ....mpira wenyewe tunao sisi!dhubutu ndio utaona moto wake...ndio hutokaa kusahau!mungubkawatia upofu mjifichue uovu wenu kabla ya kampeni na uchaguzi ili tuwe na mbinu ya kuwatoa wakoloni hawa weusi..
 
Hakuna ambaye hatapiga kura na ndio mtaisoma...mlikosea kutozuia m4c kwani ile ndio iliamsha watz...poleni sana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom