BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,214
NDUGU YANGU MUNGU atatenda IPO SIKU yatafichuka TU, tuombe uzimaaaLaana kubwa sana

Hii ya Ubungo waniite nitoe ushuhuda bil kupepesa. Ilikuwa hatari kwakweli.Kwanza iliundwa kimkakati sana
Hakukuwa mjumbe hata mmoja nje ya cycle yao.. Wajumbe wote ni makada watiifu wenye maisha mazuri kupitiliza
Pili jina lililopewa lilimaanisha kuinasua serikali na tuhuma za mauaji na kuwasakizia wananchi kuwa ndio walifanya vurugu
Uongo hupanda lift bali ukweli hukwea ngazi. Wakati ni hakimu wa haki.. Kinachotokea kwenye shuhuda kinatisha na kuumiza zaidi
Japo watu wengi walisusia kufika mbele ya tume ya mchongo lakini hao kiduchu waliofika wamivua nguo serikali na mamlaka zake!
Tume imelemewa na shuhuda za kweli sasa hawataki tena ziende hewani moja kwa moja.. Waandishi wamezuiwa kuripoti direct na sasa watasubiri watakachopewa na tume
Tunarudia tena kosa like lile.. Kukipaka kinyesi manukato ili ksinukeView attachment 3533925
Hii ya Ubungo waniite nitoe ushuhuda bil kupepesa. Ilikuwa hatari kwakweli.
Tume inawahitaji watoa ushuhuda wa kuchonga akina Lucy peter na Lucas mwashamba...
CCM wanajificha kwenye ukoka
Kinachofuata mashekhe wa BAKWATA ndiyo wataenda kutoa ushahidi wa uongo wakiamini kuwa wanamnusuru mwenyekiti wao kumbe ndiyo wanazidi kumpaka kinyesi. Ushahidi ambao umeshatolewa na kile Watanganyika tulichoshuhudia kwa macho yetu kinatosha kabisa kumtia Samia na magaidi wenzake hatiani.
Order ishatoka kwa bi.Msumi huko kuwa mashahidi wanatikisa meza yenye don julio na dom perignon😂😂😂 tafadhalini sana.Kwanza iliundwa kimkakati sana
Hakukuwa mjumbe hata mmoja nje ya cycle yao.. Wajumbe wote ni makada watiifu wenye maisha mazuri kupitiliza
Pili jina lililopewa lilimaanisha kuinasua serikali na tuhuma za mauaji na kuwasakizia wananchi kuwa ndio walifanya vurugu
Uongo hupanda lift bali ukweli hukwea ngazi. Wakati ni hakimu wa haki.. Kinachotokea kwenye shuhuda kinatisha na kuumiza zaidi
Japo watu wengi walisusia kufika mbele ya tume ya mchongo lakini hao kiduchu waliofika wamivua nguo serikali na mamlaka zake!
Tume imelemewa na shuhuda za kweli sasa hawataki tena ziende hewani moja kwa moja.. Waandishi wamezuiwa kuripoti direct na sasa watasubiri watakachopewa na tume
Tunarudia tena kosa like lile.. Kukipaka kinyesi manukato ili ksinukeView attachment 3533925
Ubungo ndio ilikuwa kiini cha shughuli rasmi ya OCT29 Festival💥 hivyo nondo zitakazoshuka hapo ni kama movie.Hii ya Ubungo waniite nitoe ushuhuda bil kupepesa. Ilikuwa hatari kwakweli.