Tumchinje Huyu...!!!!

aisee kweli sayansi hatari mkuu, kwaio ni kitu kama cross breeding au genetic engineering?
 
Kwa hiyo mie ndio nahusika kuharibu kuimati? Umekosea uko kufata maelezo halafu wataka nipeleka polisi mwenzio...umetia mimaji mengi au tui jingi....sema kweli.
 
Kwa hiyo mie ndio nahusika kuharibu kuimati? Umekosea uko kufata maelezo halafu wataka nipeleka polisi mwenzio...umetia mimaji mengi au tui jingi....sema kweli.

Shhhhhh, usiwaambie watu lakini. Naona nimetia maji mengi ila sikubali kosa ni lako kwa sababu hujaniwekea video.
 
Shhhhhh, usiwaambie watu lakini. Naona nimetia maji mengi ila sikubali kosa ni lako kwa sababu hujaniwekea video.

Hahahahahaha unalijua kosa lako kumbe alafu wanisingizia mie....fanya uzito kiasi kama wa unga wa bajia..
 
ha ha ha pole...mama watoto yuko wapi apikie watoto?Kweli we hodari umeenda kujaribu kupika kaimati mashallah!!
 
Hahahahahaha unalijua kosa lako kumbe alafu wanisingizia mie....fanya uzito kiasi kama wa unga wa bajia..

Ahsante lakini bado mimi sina kosa, hilo sikubali kabisa. Si unajuwa sie watanzania tulivyo kwa kugeuza vibao.
 
ha ha ha pole...mama watoto yuko wapi apikie watoto?Kweli we hodari umeenda kujaribu kupika kaimati mashallah!!

Mke wangu mtarajiwa mimi49, ni hivi. Mama watoto yuko safari ya kuona wazazi na alinikataza kuajiri house girl wa muda kutokana na usanii wao kwani tulisha shuhudia huko nyuma a family friend of ours kumwacha mkewe kwa kuwekewe madawa kwenye chakula na house girl....hivyo nikapigwa ban. Kingine, huwa mimi ni mtundu wa mapishi kwani napenda kupika vyakula ninavyopenda na ndiyo maana mke wangu hana wasiwasi na mimi kama akitokea kasafiri kwa siku chache. Hivyo kwa sasa nimekuwa baba mama ndani ya nyumba yangu na ninajivunia kichizi kwani naona furaha anayopata mke wangu kupikia familia. Kwa kweli ni jambo la raha sana.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Jamaa_Mbishi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…