Tumchinje Huyu...!!!!

walim-overdose na dawa za mchina. homornes zote ziko messed up hata umpike vipi!
 
mara ya kwanza nimeiona hii kazi maabara nilishangaa sana nikadhani ni siri kumbe wametoa hadharani! HUO NI MCHANGANYIKO WA SELI ZA NGURUWE NA NG'OMBE kama sijakosea ni wanasayansi wa kijerumani, pia kulikuwa na za paka na panya sijui kama hawafanyi majaribio ya seli za binadamu na wanyama wengine Mungu apishe mbali...
 
atafaa kula kweli? mbona ana wowowo la kichina?
 
Wampige tu sindano ya sumu ama bunduki ili wampunguzie maumivu ayapatayo. Huyu mnyama ni mgonjwa.
 
Ahhahahhaha umenichekesha shoati....




Afu nina hasira na weweeeee. Zile kaimati zako za jana nimejaribu kama ulivyosema ila zimetokea uji wa hajabu hajabu na haziwezi kulika mpaka watoto wangu ilibidi wale vyakula vibovu (chips mayai) because of you. Ungekuwa unaishi karibu haki ya nani ningekutumia vijana wa afande Kova wakulete nyumbani uje kunionyesha live namna ya kupika, tena kwa ulazima😡
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…