MGOGO27
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 459
- 217
Mimi nadhani majipu hanayotumbuliwa bila kuwawajibisha wahusika na tatizo kupelekwa kwenye vyombo husika,Watetezi wa haki za wafanyakazi mko wapi maana uonezi umezidi kuna watu wanafukuzwa kazi kwasababu za kisiasa naomba wanaharakati wanao simamia haki za binadamu fatilieni huu unyanyasaji unaoendelea Tanzania maana naona UMMA unakaribia kilipuka na sisi hatutaki kufika huko