labda ya mmasai kwa sababu inaachiwagwa tai ndo inakuwaga tuwili..
romantic eyes wala hana shida ya kujua hilooo...
romantic eyes huyu jamaa amekamilika we ID za watu zinakuhusu nini bibie
romantic eyes wala hana shida ya kujua hilooo...
mbona mnamtajataja mtoto kafanyeje...
Waambie my daughter mi sitaki wamtajetaje last born wangu
naona wanalipenda jina la mdogo wangu...miss you my mom...
we unatwo twomboo tuwili?hata tukubwa ni twomboo zikiwa mbili..
Mimi pia nimewamisi wewe na mkwe.....tena umwambie huyo shem wako kuwa ntaghairi kumpa binti yangu....ohoooo
romantic eyes huyu jamaa ako anawashwa washwa