@tumboo

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
hili jina linanitatiza.. ni tumboo kwa maana ya opposite na mgongo au tumboo kwa maana ya zile zana za kiume ziwe mbili..

mean tu=two/2 then malizia na hiyo iliyobakia..

au ni vipi tumboo? njoo dadafua bhana..
 
Last edited by a moderator:
Heheeeeeeee watu wakikosa vyakuandika bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…