Wewe ni wangu wa maisha nikisikia sauti yako najihisi niko kwenye bustani ya edeni. Wewe ndie unayenipa raha zote za dunia.
Cheers.
Unajilav mwenyeo unajilavtoo mwenyeo
Unajilav mwenyeo unajilavtoo mwenyeo
Nyie chongeni tu sisi twapendana. I LOVE YOU tumboo kwa herufi kubwa. Wacha walozi waloge sisi hatutikisikisi tuko na muumba.