Fanya hivyoShukrani mkuu, ngoja niende
Tafuna tangawizi au meza majivu lainiHabari za leo wakuu,
tumbo langu linaunguruma mpaka
linanitia wasiwasi
Yeyote mwenye kujua tiba ya hili
tatizo anijulishe tafadhali
Nashindwa kukaa sehemu
zilizotulia kuhofia mlio wa tumbo
Leo nipo na maboss hapa yaani sina amani[emoji1]
Msaada wa haraka unahitajika.
Natanguliza shukrani[emoji120]
Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Akhsante sana mkuu[emoji120]Tafuna tangawizi au meza majivu laini
Ni Kweli nimeskikia hiloNenda sehemu ambayo haina watu ujambe. Hiyo ni gasi inazunguka tu tumboni. Unywe na maji ya vuguvugu uchanganye sukari na chumvi. .
Tumbo kuunguruma inaonyesha una gesi nyingi tumboni acha kula vyakula vyenye gesi nyingi kama maharage na soda za aina zote. Kunywa maji ya uvuguvugu kila unamaliza kula kula karafuu 4 matatizo ya gesi yatakuondoka uguwa pole.Habari za leo wakuu,
tumbo langu linaunguruma mpaka
linanitia wasiwasi
Yeyote mwenye kujua tiba ya hili
tatizo anijulishe tafadhali
Nashindwa kukaa sehemu
zilizotulia kuhofia mlio wa tumbo
Leo nipo na maboss hapa yaani sina amani[emoji1]
Msaada wa haraka unahitajika.
Natanguliza shukrani[emoji120]
Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Akhsante sana mkuuTumbo kuunguruma inaonyesha una gesi nyingi tumboni acha kula vyakula vyenye gesi nyingi kama maharage na soda za aina zote. Kunywa maji ya uvuguvugu kila unamaliza kula kula karafuu 4 matatizo ya gesi yatakuondoka uguwa pole.
Umekunywa dawa ya minyoo lini?Niwe nimekula niwe sijala
Mwendo uleule mkuu