Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,363
- 5,110
Nina week nne nahara mfululizo, nilipima wakanambia mchafuko wa kawaida kutokana na maji nilikua nakunywa nilivyobadili mazingira .
Tumbo haliumi ila natoa ushuzi una harufu kali, nahara leo nimeona kama vipande vya damu kwenye kinyesi.
Nini linaweza kuwa tatizo?
Tumbo haliumi ila natoa ushuzi una harufu kali, nahara leo nimeona kama vipande vya damu kwenye kinyesi.
Nini linaweza kuwa tatizo?