Tumalize leo kilio chetu kuhusu bayport kwa kutuma email

hapana mkuu,anayeangalia nini kibaki kwenye sleep yako ni hazina,yaani ukipeleka makato uliyojiamulia tu hawapitishi yapite.

hawa wahuni michezo michafu wanayofanya,ni kukuza riba kiholela,kisha kupitiliza makato deni likiisha.
Du sikujua Hilo Ila daima mikopo ni utumwa tunakopa basi Tu Kwa ajili ya shida lakini inaumiza Sana.
 
Nashukuru kupata nafasi, namshukuru Mungu kwa kuwa ameniweka huru na hao watu! Kifupi sitaki hata kuwaongelea, poleni sana ambao bado mnateseka
 
Napata tabu sana kuelewa japo sijawahi families kukopa hizo sacos lakini nachojiuliza hv huo mkataba unausaini bila kuusoma au vipi. Inamaana unapokopa huambiwi katika huo mkataba watakukata kiasi fulani kwa miaka/miezi kadhaa ndio deni litaisha. Au huwa wanamkataba original na feki
 
Makato yanaenda tofauti na makubaliano,yaani hupandisshwa ghafla tu, na muda wa makato huwa yanapitiza mda wake

Unakuta hata mkataba huna maana wao ndio hupeleka utumishi kapitisha makato, wanaokamandwa Ni wale wazembe wa kupitisha form ya mkopo utumishi na kwa wakuu wake wa adara, ukiendwa mwenyewe na form ya vibanda umiza lazima mkuu wako wa idara atakubadilisha mawazo.

Wao watoa pesa ya kutosha kwa afisa utumishi makato yanapishwa kwa kuvuka baadhi ya hatua

Imeisha hiyo utasota masini wweee
 
Back
Top Bottom