Jamani kama kuna mtu anafahamu hawa Tumaini University Makumira wanatoa lini majina ya waliochaguliwa second round atujuze maana nimechoka kuangalia profile yangu TCU ikiwa imeandikwa Waiting for Approval.
Hawa jamaa wapo serious kweli? siku za vyuo kufunguliwa zimeisha sana na wanafunzi wanatakiwa kujipanga ili kama kuna gharama watafute, sasa ucheleweshwaji huu siwaelewi. Mbona vyuo vingine walisha toa siku nyingi?
Msaada kwa anayejua lini wana approve hiyo senate yao ili niwe na amani.
Asanteni