Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Yaani acha kabisa mpaka nimekonda.

Baada ya kutelekezwa na mume ndio nikapata kipoozeo Rogie kidogo nikapata kahaueni, tooba siku si nyingi si ndio nikambamba mchana kweupeeee anachepuka
Unaniabisha sasa?Hivi unaanzaje kukonda kisa mtu uliyekutana nae mkiwa wote na meno 32?
 
Nashukuru kupata nafasi nifikishieni salam zangu kwa huyu Madame S nisaidieni kufikisha salam hizi.
 
Back
Top Bottom