Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,186
- 44,061
Wanasiasa si watu wa kuwafuata nyuma tukahisi tuko salama. Wanasiasa wa Tanzania have stopped living in the world of realities. They live in the world of fantansies.Do you think wanafikiria uongozi ni dhamana? Wwengi wapo pale ili wale washibe na tena wavimbiwe. Time will tell and again time will heal everything.Tusifanye vurugu tukaiharibu nchi yetu. Kuna namna bora za kuwapa adabu wanasiasa bila umwagaji wa damu.Mi si mpenda vurugu. Lakini kuna siku nyingine napatwa na hasira ambayo haina kipimo. Mfano wa siku kama hizo ni leo.
Ushauri wangu kwa wanajeshi na polisi ni huu: badala ya kupiga na kuua wananchi (wengi wao wasio na hatia) tafadhali jikusanyeni pale Dodoma mtembeze mkong'oto kwa hii mijitu inayosahau akina nani waliwapa dhamana ya kukaa katika lile jengo, si kwenda kulala, la! Si kukaa kimya! KUSIMAMIA HAKI YA MWANANCHI!!
Wanasiasa si watu wa kuwafuata nyuma tukahisi tuko salama. Wanasiasa wa Tanzania have stopped living in the world of realities. They live in the world of fantansies.Do you think wanafikiria uongozi ni dhamana? Wwengi wapo pale ili wale washibe na tena wavimbiwe. Time will tell and again time will heal everything.Tusifanye vurugu tukaiharibu nchi yetu. Kuna namna bora za kuwapa adabu wanasiasa bila umwagaji wa damu.
Iwapo watanzania wataelewa kwa nini Abraham Lincoln alisema "Politicians are a set of men who have interests aside from the interests of the people and who, to say the most of them, are, taken as a mass, at least one long step removed from honest men".
Kwa hakika mioyo yao itatulia.
Ha ha!! GT bwana!
Kweli. Halafu mikondoo yenyewe haina pembe sasa!!
mzee mwanakijiji ni vigumu sana kutuliza mioyo katika hali kama hii. Mioyo inauma kama ufe hivi uondokane na maumivu haya. Hawa mnawaita wabunge sijui wanaona sote ni punguwani (is it punguani or punguwani?) whatever it is! jua hili litatelemka lini?
yupo wapo mzee wa viwango na speed,wapo wapi manabii wetu Mwakyembe,Mpendazoe,Shelukindo na mama kilango..kweli siasa ni mchezo mchafu,nimeamini ni bora kumuamini mmasai maana akikimbia unaweza kubaki hata na nguo kuliko kuwaamini wanasiasa,wametuuzia samaki kwenye maji.....