The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,424
Kwa waliosoma katiba ya nchi vizuri, hatuna cheo cha naibu waziri mkuu.
Hicho cheo feki kwa mara ya kwanza, kilitumiwa na Ali Hassan Mwinyi kumpoza Augustine Mrema na mara ya pili ni Samia kumzuga Dotto Biteko ili watu wa Magufuli wamtafutie kura halafu awabwage kama alivyofanya.
Ukiangalia wote waliotemwa, wengi walikuwa watu wa Magufuli.
Wajinga ndiyo waliwao.