bendera ya chama ipo wapi au mwenzetu una macho manne..."Gesi Kwanza, Vyama baadae" huku wamebeba bendere za Vyama.
Hii inabeba Ujumbe mbaya sana kwa mtu mwenye ufahamu mdogo.
Ila yote tisa Kikwete alikosea sana kuwanyanyasa wana Mtwara.
Natumai tu huko aliko atakuwa ameyatubia aliyoyafanya.
Maana wamama walibakwa na wengine walipoteza maisha, inasikitisha kwa kweli.