Tulishinikize Bunge limfute kazi JK...

Mi nashauri mbunge yeyote aanzishe mchakato wa kumpigia kura ya kukosa imani naye,hapa najua washauri wake watamkimbiza TBC kuliambia taifa kuwa amelivunja bunge. Hapa sheria inampa siku chache tu kuitisha uchaguzi mpya ambao pia nina uhakika 2/3 ya wabunge wa sasa watashinda tena,na hapo ndo atapaswa kujiuzuru kisheria. Hii ni njia fupi sana kwa msafiri kuondoka magogoni,labda ashtukie kuwa 2/3 watarudi. Kumbuka sheria haisemi wapinzani wakirudi bungen,inasema 2/3 ya wabunge wote wa sasa. Je unadhani ccm na cdm ukiitishwa uchaguzi upya watakosa kurudi? Nasubiri msafiri ajidanganye kuvunja bunge ndo aje kuishangaa faul ya sheria!
 
tungekua na wabunge makini ndani ya ccm tungeweza hilo.. ila kwa wabunge hao vihiyo haiwezekani mkuu
 
Kila ninakopita naona wananchi wengi hawana imani na rais wao. Ni rais ambaye hakubaliki kwani amekuwa kama boya tu, akiyumbishwa na mafisadi. Hi inaashiria nini?
 
Ushauri wangu tuweke mbinu chafu hizi za JK pembeni na kulishinikiza Bunge limchunguze na kama likimtia hatiani limfute kazi.......na tuanze mara moja kazi ya kuijenga nchi yetu upya kwa manufaa ya vizazi vijavyo..........................

Mkuu Rutashubanyuma, nadhani ni vizuri uzirudie notes zako za mifumo ya serikali (Form of Gov) DUNIAI, hosusani TZ kabla kabla ya kutoa huu ushauri kuhusu serikali ya Mr. Kikwete. Tanzania, kama tunavyojua inafuata mfumo wa Presidential System of government na ambao madaraka yote ya Uongozi yapo chini ya Rais. Ref: http://www.wordiq.com/definition/Presidential_system or http://www.essortment.com/all/presidentialpar_rket.htm


Sasa nadhani kabla ya kuwatwisha Wabunge mzigo usiobebeka kisheria, nadhani si vibaya watu tukaelimishana kuhusu hii mifumo ya serikali na jinsi gani MARAIS wetu walivyokuwa na power kupita vyombo vingine vya UTAWALA, suala ambalo linaonyesha mapungufu makubwa kwenye KATIBA yetu. Vinginevyo Itakuwa kama tunajaribu kuibebesha NYOKA MZIGO.
 
Back
Top Bottom