Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,606
- 29,755
EIsh!Rais wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan , Amewaagiza wakurugenzi wa mashirika ya umma wasikope hela kwenye mabenki ili kutoa gawio kwa serikali , hata kama mashirika yao hayatatoa gawio haimaanishi kwamba watafutwa kazi .
Wakati wa Utawala wa kidikteta wa awamu ya 5 , Rais wa awamu hiyo alijiapiza hadharani kwamba Mkurugenzi wa shirika lolote asiyetoa gawio kwa serikali atafutwa kazi , jambo lililowafanya wakurugenzi hao kukopa hela kwenye mabenki ili kudanganya umma kwamba yamepata faida .
View attachment 2721665
Bado wanadumisha utamaduni kumbe