Tulipofikia

Waafrica!
Sasa mwanamke kwa mwanamke wanafanyaje ili wapate maximum satisfaction??!!
 
Mshana unajua jamii ya she males?..kimuonekano..anaweza kuonekana wa kike lkn ana " uume"..na ana function well tu as a normal man..hata na watoto wanaweza kupata,mmeliangalia hilo?tutalaumu kama ni she male?..
 
 
Walimwengu wanazidi kutupa mwanga wa Dunia inakoelekea.
Kipi walichokikosa hawa warembo,huyo actor-bwana harusi ,,jamani jamani Mtoto mzuri laki si Pesa.

Wapuuzi wenzao haki za binadamu nadhani hapo Ndipo mahala pake.

NB:
Hili ni Janga kubwa sana duniani. (Family destruction)
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…