Tulipofikia

Tulipofikia

Waafrica!
Sasa mwanamke kwa mwanamke wanafanyaje ili wapate maximum satisfaction??!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji87]
Mshana unajua jamii ya she males?..kimuonekano..anaweza kuonekana wa kike lkn ana " uume"..na ana function well tu as a normal man..hata na watoto wanaweza kupata,mmeliangalia hilo?tutalaumu kama ni she male?..
 
Mbuzi,kenge,mbwa,nyau wote ni wanyama na tunasema sisi binaadamu tuna akili kuliko hao.Lakini wanyama hawa hawakosei kwenye suala la jinsi na mahusiano.Hawaoani wa jinsia moja.Hawafanyi ngono kinyume na maumbile.Ifike mahali tuseme mbuzi wana akili kuliko sisi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji106]
 
Walimwengu wanazidi kutupa mwanga wa Dunia inakoelekea.
Kipi walichokikosa hawa warembo,huyo actor-bwana harusi ,,jamani jamani Mtoto mzuri laki si Pesa.

Wapuuzi wenzao haki za binadamu nadhani hapo Ndipo mahala pake.

NB:
Hili ni Janga kubwa sana duniani. (Family destruction)
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom