Sasa kama kuna mwanamme mmoja alianzisha thread eti kamwacha mwanamke kisa mwanamke anapenda sana tendo kila baada ya siku 2 mnategemea nini?Wanaume tunazaraulika tunaonekana tumishindwa majukum yetu
A slip of a tongue.

Mjomba;naona mwaka huu unazungumza kwa emoji tu

Mmh!i macho haya!! Umefunkunyua mpka umeona na huko pembeni!!!!Kuna miguu mitamu hapo kulia......!
![]()

Naona jinsi ulivyofurahi kimyakimya!duuuuh nilikua cjaelewa tobaaaaa

Labda ni kadume!!!Hebu kambieni hako kabwana halusi kaje nikaoe nikape mikandamizo yamaana muone kama katajifanya kabwana halusi tena
Haswaa maana mwanaume rijal hawezi kwenda hapo.Mimi sijaona mwanaume hata mmoja pale
kwNn mkuu?Naona jinsi ulivyofurahi kimyakimya!![]()
Hakuna new normal. Last time walijaribu kuifanya new normal waligharikishwa! Tusubiri bakora ingine. Allah atunusuru, amiyn.Evolution of species.
Ni kwamba one way or the other specie itakua, itatawala, itapotea. Just like dinosaurs walikua extinct kwa meteorite, binadamu tutajimaliza wenyewe kwa kutokuzaa. Hii kitu itapingwa sana ila one way or the other itakuja kua the new normal.
Ni fashion tu, nayo itapita sio rahisi kwa ndoa kama hiyo kudumu kwa miaka 10.kuna siku wote watajikuta wanamtaka mwanaume halisi sio toys.
Hakuna new normal. Last time walijaribu kuifanya new normal waligharikishwa! Tusubiri bakora ingine. Allah atunusuru, amiyn.
duuuuh nilikua cjaelewa tobaaaaa
ni tukio la ajabunini maoni yako juu ya hili tukio?
okeyni tukio la ajabu