Tulipofikia pana shaka sana

monomotapa

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
437
325
Inashangaza, inasikitisha, inakatisha matumaini, inatia aibu kabisa...... Mkuu wa Mkoa anasimama mstari wa mbele kupinga na kuchukua hatua dhidi ya biashara hii chafu kwa maslahi ya taifa letu woote kabisa....Sidhani kama kuna mtu kwa njia moja ama nyingine hajahathirika na hili janga iwe rafiki, iwe ndugu, iwe jirani nk.... Mtu mwingine anasimama kumpinga kwa kwa nguvu na kelele nyingi na akili yake imeishia hapohapo kupinga tu kwa faida na maslahi yake binafsi, ama ya ndugu yake ama ya rafiki yake na anapata mashabiki wengi......Hii ni imekaa sawa kweli? Tunatetea uovu kweli...!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom