Tulipofika ni hapa, je tunakoelekea ni wapi?

Tulipofika ni hapa, je tunakoelekea ni wapi?

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,796
Reaction score
22,768
waa.jpg
Askari wa bunge la jamhuri wa Muungano wa Tanzania wakimdhibiti Mhe mbunge wa Chadema jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ndani ya bunge wakati akitolewa ndani ya ukumbi wa bunge hilo mjini Dodoma leo.
2DPI.png
Chanzo
 
Hata mi nashangaa..yaani kule kushikana mashati jana bungeni tunaita 'fujo' sijui 'vurugu'...wakati wabunge wote jana wamelala na meno yao 32 yamejaa mdomoni. Halafu eti tunaita vurugu!

Ha ha haaaa
 
Back
Top Bottom