Hii ni mbinu nzuri pia CCM yako wameacha kichwa cha kaka yako Lipumba na kuweka matikiti kwenye uchumi kisa yana rangi ya ccm kwa juu.
Mchumi si lazima awepo Serikalini kufanya kazi zake. Kumbuka hilo.
Kinachowafanya Wamerekani wawepo juu ni strategy yao ya kukichukua kila kichwa chenye maana duniani na kukifanya cha Kimerekani.
Hii ni mbinu nzuri pia CCM yako wameacha kichwa cha kaka yako Lipumba na kuweka matikiti kwenye uchumi kisa yana rangi ya ccm kwa juu.
Kwani hao wamarekani waliowachukua walikuwa wanafanya kazi kwenye serikaliyao?hata uraia walikuwa nao?Tuache tu siasa za uongo haya matikiti yenu yatatuharibia uchumi hadi wauze watoto wetu!Mchumi si lazima awepo Serikalini kufanya kazi zake. Kumbuka hilo.
Kwani hao wamarekani waliowachukua walikuwa wanafanya kazi kwenye serikaliyao?hata uraia walikuwa nao?Tuache tu siasa za uongo haya matikiti yenu yatatuharibia uchumi hadi wauze watoto wetu!
watu8 ni haki yako kuungana na kiranga, endelea kufuatilia hii thread utapata majibu
Indeed, USA is the land of opportunity.
Translation ni kwamba jibu huna, unategemea lipatikane kwenye thread.
Ungekuwa nalo ungetupa.
Inaonekana umeandika kitu ambacho huna uhakika nacho.
Cc watu8
una uhuru wa kufikiri hivyo na wala siwezi kukuzuia sometimes silence is the best answer...! thats why sikujibu maswali yako na walionielewa wameendelea kuchangia
Lakini hapa unanijibu tena bila kutoa jibu.
Una uhuru wa kufikiri chochote, lakini ukweli unabaki kwamba hujatoa jibu bado.
kiranga una tatizo moja SUPERIORITY COMPLEX na hakuna watu rigid wa kudeal nao kama wenye tatizo kama lako na wengine ni wale wenye INFERIORITY COMPLEX! kwakuwa unafikiri wewe ni mahiri na unajua kila kitu kwahiyo huwa unajaribu kwa nguvu nyingi kumtease yeyote anayepost chochote labda tu awe ni rafiki yako. ndo maana huwa sihangaiki kukujibu chochote
Pata hii tetesi ya jinsi wamerekani kwa kushirikiana na mwisraeli walivyohusika kuipoteza ndege hiyo. Kwa kifupi, taliban aliweza kuteka control tower ya drone wakati marekani anafungasha kutoka Afighanistan, akaitafutia soko kwa mchina. Mchina katuma wataalamu wake afighanistan, ili deal lisibumbuluke wakaingilia malaysia. Wakaenda kukusanya data, wakawa wako safarini kurudi kwao china kwa njia ile ile iliyowaleta. Kumbe israeli was watching, na alijua ni wapi atawakamata. Matokeo yake, zaidi ya maneno 'muwe na usiku mwema' si malaysia wala china anayejua zaidi kuhusu hiyo ndege. Sory, ni strori tu.Wamarekani walitaka kutuaminisha kuwa wao ndio baba wa tech duniani na kwao hakuna kinachoshindikana, kuanzia mwezini mpaka chini ya uvungu wa bahari, wanaimonitor dunia yote kwa ufasaha kabisa, lakini kupotea kwa ndege ya malaysia ni changamoto mpya ya dunia na kwakweli sasa tunaweza kupinga kuwa dunia si kijiji tena. Kisa cha ndege ya malaysia kinashabihiana kwa kiasi fulani na habari za mnara wa babeli.
Superiority complex unayo wewe ambaye umesema kitu ulichodai unakijua, nikakuuliza uthibitisho, ukashindwa kunipa uthibitisho, na bado unajivika ujuaji.
Katika saikojia kuna kitu kinaitwa "projection", ambacho kinahusika na mtu mwenye tabia fulani kuiona sana tabia hiyo kwa wenzake, hata kama haipo. Kwa hiyo si ajabu kuona mwizi anamshuku mtu mwingine kuwa mwizi.
Ndicho ulichofanya hapa.
Una project superiority complex yako kwangu.
Tena si Superiority Complex tu, bali upo "passove aggressive" ndiyo maana unanijibu kwamba huhangaiki kunijibu chochote, wakati ushanijibu.
Mimi nina king'ang'anizi tu kwa mtu yeyote anayeleta bull.shyt na kukwepa maswali ua msingi.
Hii kamwe haiwezi kuwa superiority complex.
So is in tz, and the only difference is that we are lacking committed top leaders!
Yaani hawa hawaelewi hata kilichotokea kwenye hiyo ndege ya malysian. Wamarekani wanajua na wanahusika na hiyo ndege. Kitechnolojia wako juu balaa msiongee vitu vya ajabuBado sana.
Marekani kuanguka si leo, kesho, keshokutwa, mtondogoo, wala wala mtondojogoo.
Marekani iko juu karibu kwenye kila nyanja iliyo bora hapa duniani.
Halafu unamaanisha nini kusema hata iPads hawajawahi kutengeneza?